Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,837
Sio mpenzi sana wa kuanzisha mada za kikabila, ila ukiona kabila au jamii yako yoyote, iwe ukoo, kabila, nchi, au race inashmbuliwa unfairly lazima uweke mambo sawa
Kuna mada imeanzishwa hapa kushambulia "wanawake wa kaskazini" kuwa ni wanawake wasiofaa kutokana na sababu alizozitoa mtoa mada, na Moderator wakaona ni sawa
"Watu wa kaskazini" ni term inayotumika kumaanisha kabila la Wachagga, Licha ya Kaskazini kuwa na mikoa kama Tanga, Arusha, Kilimanjaro, Manyara ambazo kwa ujumla ina makabila takribani 30, lakini kabila la Wachagga ndio linachukuliwa kama vile ndio Kaskazini nzima
Mwanamke kama mlezi wa kwanza wa mtoto na anaye manage nyumba, akiwa hafai ina maana familia na nyumba vyote vitasambaratikaa, familia zikisambaratika ina maana ukoo na kabila lote kwa ujumla vitaanguka
Licha ya mkoa wa Kilimanjaro kuwa ndio mkoa wa kwanza kwa udogo ukiacha Dar es Salaam, na Uchagani ni kama asilimia 30% ya mkoa huo, wakiwa na limited resources, lakini wamefanikiwa zaidi kwenye elimu, biashara, kazi kwenye sekta binafsi na umma, kuliko hayo makabila mengine ambayo wanawake wake wanafaa zaidi
Mtoto kufanikiwa katika elimu, au biashara au utumishi wa umma ni lazima awe amelelewa na mzazi, hasa mama, ambaye amemkuza katika nidhamu ya kuzingatia elimu, nidhamu ya biashara na kazi kwa ujumla
Ukienda upande wowote Tanzania iwe ni kusini kabisa kule Mtwara, Magharibi Kagera, Kigoma, Mbeya, Tanga, Dodoma, Singida utakutana na Wachaga wengi either kwenye kazi kama benki, udaktari, mashirika ya kitaifa na kimataifa au kwenye biashara kubwa na za kati
Ni nadra kukuta mchagga mikoa mingine kaenda kuharibu mazingira na ng'ombe au kufanya kazi za ndani
Lengo sio kujivuna ila ni ku highlight point kuwa huwezi kuwa jamii yenye kutoa watoto wenye mafanikio kama wanawake ambao ndio walezi wa kwanza wa hao watoto watakuwa ni wanaweza wasiofaa kulea familia
Ukipenda unaweza kuoa kabila lako tu sio lazima uoe kwetu, sababu hatulilii wanawake wetu kuolewa na watu wengine,