Daktari wa Saikolojia Charity na Mtangazaji wa Radio One Haji leo mmetuangusha Wanaume kwa Kuukiri huu Udhaifu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,122
Leo katika Kipindi Bora duniani cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima Daktari wa Saikolojia Genius Charity Xavier Johnson na Kaka yangu Mtangazaji Haji Kibwana wamesema Kauli iliyoniumiza na Kuhisi huenda na Wao sasa wameshakamatika vilivyo na Wake ( Shemeji zangu ) huko Makwao.

Ni kwamba Wanaume Wote hawa Wawili kwa Vinywa vyao vilivyotukuka WAMEKIRI kuwa huwa WANATUMWA na Wake zao.

Dk. Charity ndiyo akanitibua zaidi aliposema kuwa Yeye humbebea hadi Ndoo ya Maji Mkewe huku Mtangazaji Haji Kibwana akisema Yeye huenda Kuhemea Mahitaji yote ya Mkewe Sokoni na Kwingineko.

Na muda mfupi tu uliopita nimetoka Dukani na kukutana na Bwege Mwingine ( Mwanaume ) kaja Dukani kumnunulia Mkewe Pedi ya HC na halina hata Aibu au Wasiwasi ikiashiria yaami Limerogwa na Mkewe hadi Kushindikana.

Kudadadeki hivi kabisa Mwanamke unaanzaje Kunituma na Kunipelekesha utakavyo GENTAMYCINE zao Tukuka kutoka Mkoa wa Wanamume na Mashujaa wa Mara?

Dk. Charity natamani mno nijue Kabila lako ili kama unatoka haya Makabila ya Watani zangu na Malofa ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi nikupige sana Madongo hapa.

Na mlivyokuwa Mkipopomika hivi mlifamfanya Dada yangu Mpendwa Mtangazaji Mrembo wa Television kuliko Wote nchini Tanzania Farhia Middley awe na Furaha isiyo na Kifani hadi nikajiuliza au Amewaahidi Ofa ya Supu mahala baada ya Kipindi ndiyo maana Mkakengeuka / Mkapopomika hivi na Kuonyesha Udhaifu wenu?

GENTAMYCINE nikiwa kama Rais wa Wanaume Wababe, Majasiri na Wasiopelekeshwa na Mke, Mpenzi au Hawara niseme tu kuwa leo Dk. Charity na Mtangazaji Haji Kibwana mmeniangusha mno.
 
Kuna ubaya gani nikimsaidia mke wangu kuna wanawake wana pitia magumu kweli
 
Dada yangu Mpendwa Mtangazaji Mrembo wa Television kuliko Wote nchini Tanzania Farhia Middley.

Huyu dada ndie mrembo Kati ya tz mzma..

Napigilia msumali wannchi 9 hapo hpo walah
 
Wewe ndo una shida mkuu.

Udhaifu wako ni mkubwa kuliko udhaifu wao.

Ukiona jambo halikufai basi halijalengwa kwako achana nalo kabisa.

Unasumbuliwa na malezi ya mfumo dume. Kuagizwa na mkeo ambae hauna ugomvi nae kuna shida gani kwani kakulazimisha ?
 
Ndo Maana mnagongewa
Kwahyo ukitumwa usipoenda, ndo hautagongewa au. Swala la kutumwa ukaenda ni upendo tu japo Lazima uwe na kikomo. By the way c support Feminism ata kidogo but sometimes upendo ni kumfanyia mtu unayempenda vitu vidogo bila ata yeye kukuomba.
 
Back
Top Bottom