Inasemekana kabila la Wanyamwez toka TABORA wanajua mapenz,ku care,ku handle na uvumilivu kuliko makabila yote.WEWE UNASEMAJE?
Hahaa nimeipenda sana hii mada,kuna uvumi ulikuwepo miaka ya nyuma kusema kuwa wa dada wa tabora wanapenda sana limbwata na mwanaume akikamatwa na hilo limbwata ujue amekwisha ataishia kuwa kama shamba boy kumbe ndio mume halisi!!wanachukua akili yoote,wanakuachia kupenda hadi ujinga!! Je ni kwelii??
Siyo kila unachokisikia unakipost humu, topic kama hizi huwa hazina ukweli wowote. inamaana hao ulowasikia wameshatembea na makabila yote TZ?! ......Upuuuzi.
Mimi ni Mnyamwezi, ila si mvumilivu. Ukinidekeza nitakudekeza, ukinisumbua natimua vumbi!
Najua zipo mkuu, ngoma kama,Maswezi,manyanga,Uyeye,Bagika,Bagalu,bazuba,Radu na nyinginezo nyingi,wewe ulikuwa unazungumzia zipi kiongozi?....kuna NGOMA..Any way wote!
Ebanaaa dah!..kumbe unazungumzia hilo shaka ondoa mkuu.....Usalama katika tafiti utazingatiwa.Hahaaa,umesahau ugoyangi na matanda,any ways nilikua namaanisha NYAMBIZI a.k.a ukimwi!