Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,125
- 13,614
Ndio hasira?,napenda kumkorofisha mtu akiwa kwenye hiyo haliYani sitaki mtu aniongeleshe kabisa,, naweza nimzabue mtu makofi asubuhi hii🤨🤨
Ndio hasira?,napenda kumkorofisha mtu akiwa kwenye hiyo haliYani sitaki mtu aniongeleshe kabisa,, naweza nimzabue mtu makofi asubuhi hii🤨🤨
Hizo nuksi kama huna ratiba ya kuzaa achana nazo.Sijui labla nitafute za kienyeji my dear maana za hospital hazijawahi kunisaidia eti... labda sindano sijui nijaribu 😖
Hua nawaonea wivu ambao hamuumwi jamaniMi sijawahi umwa kiukweli ila nilichobahatika ni tarehe kugonga mulemule....ivo huwa najua kuwa kesho naingia period na haikosei....lasivyo bila tarehe kutokuyumbayumba ningekuwa naaibika kwa kuingia period bila kujua.
Pole sana cute...
Ndio uwanawake huo
Muagize boda wakoSijawahi tatizo..na sijui zinapatikana wapi
Kweli Mamii nimedinda vibaya mnoo,,ningekuwa karibu nawe ningekung'ata vibaya mnoo!!Muone na huyu 🤨🤨
Mungu anakuona😥
Tunahitaji kupeana Raha zaidi,,na si kuoneana huruma Mamii!!Kweli nimeamini hamna wanaume hamna huruma
Makofi yatanihusu au siyo...Muone na huyu 🤨
Predinisolone tabs.Habari ya asubuhi,
Wenzangu huwa mnazoeaje haya maumivu jamani?😓😓
Yaani iko hivi, tumbo linauma kama mtu yupo tumboni anavutavuta utumbo, yaani kama yuko na kijiko anakwangua ukoko kwenye sufuria vile. Sasa ushuke chini kiuno jamani, ni kinakamaaa kama sijui nini, ukijinyoosha tu maumivu yake ni shida khaa!🤨🤨
Kuja sehemu nyingine huku chini ni kama sindano zinachomwa chomwa huko ndani, ni full shida yaani haaaa.ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ Hapo bado uje kwenye matiti ni yanauma jamani,😥😥 yamesimaa halafu ni mekundu, yaana moto kama sijui kitu gani yaani, bra yenyewe nimepata shida kuvaa maana nikivuta tu mkanda nasikia maumivu sio ya nchi hii.
Yaani nimekunywa dawa zote unazozijua za kutuliza maumivu lakini wapi.😓😓 Wakasema ninywe maji ya moto ila nakaribia kumaliza chupa hapa lakini sioni dalili ya maumivu kupungua, mkojo tu unabana nikienda chooni kuchuchumaa nako tabu haaaa!😖😖
Yaani hapa niko ofisini siwezi kukaa, natembea tembea tu muda wote, nasubiri kila mtu aingie ofisini kwake nibebe PC yangu nikajilaze kwenye kochi la wageni pale reception. Maana nina tabu jamani kusimama muda wote, nikisema nikae yaani kama nakalia sindano haaa!ðŸ˜ðŸ˜
Wenzangu mnawezaje kuzoea, maana mimi nashindwa jamani? Sijui Mungu aliwaza nini kuniumba wa kike, naumia mwenzenu, 😥😥😥nifanyeje eti?