Lakini sio wanawake Wote Bibie Baadhi yao ndio wanaosababisha Wanawaume kukosa Raha katika Tendo la ndoa munisamehe akina Dada zangu ingawa ukweli unauma nawaombeni munisamehe dada zangu kama nitawakwaza BADILI TABIA
BADILI TABIA, umenikumbusha mtu alishawahi kuja na bandiko hapa mumewe hataki kuoga. Tukamshauri amnyime unyumba, lol.
kauli za mwanaume na uchafu is a big turnoff
Namshukuru mtoa mada,bcoz amenisaidia kujua jinsia ya "BADILI TABIA"siku zote nilikua nikidhani ni dume lenye miraba kutokana na comments zake,kumbe ni kidemu na wala hata mikononi mwangu hakijai lol!ila wanawake tunaambiwa "tuvumilie" loh i cant imagine ku-doo daily na mume ambae katoka alikotoka, ananata mijasho na kikwapa kilichochanganyika na perfume( halafu ukute perfume yenyewe ya kichina sasa), kafika kakukoromea bila sababu halafu anataka dudu, mbaya zaidi akishapata na kula, anapanda kitandani kulala bila kuoga, na anategemea mkumbatiane hadi asubuhi yewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, na ikifika alfajiria atataka tena yewiiiiii ndoa ngumu jamani uwiiiiii
Namshukuru mtoa mada,bcoz amenisaidia kujua jinsia ya "BADILI TABIA"siku zote nilikua nikidhani ni dume lenye miraba kutokana na comments zake,kumbe ni kidemu na wala hata mikononi mwangu hakijai lol!
Eidd inaendelea vizuri ingawa wewe haupo nime ku miss bibie.. BADILI TABIA natamani tuwe pamoja tusheekee eidd vipi na wewe huko eidd inakwendaje????????????apology accepted, eid imeendaje? nakutakia eid pili njema
Kabla ya ku Do mwambie mume wako akakoge hakuna kitu cha aibu baina ya Mke na Mume............ BADILI TABIAila wanawake tunaambiwa "tuvumilie" loh i cant imagine ku-doo daily na mume ambae katoka alikotoka, ananata mijasho na kikwapa kilichochanganyika na perfume( halafu ukute perfume yenyewe ya kichina sasa), kafika kakukoromea bila sababu halafu anataka dudu, mbaya zaidi akishapata na kula, anapanda kitandani kulala bila kuoga, na anategemea mkumbatiane hadi asubuhi yewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, na ikifika alfajiria atataka tena yewiiiiii ndoa ngumu jamani uwiiiiii
Ni kweli kuwa ujuzi (uliopungua au uliozidi sana), kauli na usafi husababisha athari za kisaikolojia, lakini tunapojadili suala la sita kwa sita, tusiangalie upande mmoja tu wa shilingi (Kaunga BADILI TABIA).
Kwa kuwa tendo la sita kwa sita (kuliita tendo la ndoa ni kosa) ni suala la pande mbili, lazima pande zinazohusika zishirikiane kikamilifu ili wote wajisikie raha; vyenginevyo ama humfanya mmoja akose ujasiri au kujisikia mtumwa na kushiriki kwa kutimiza wajibu tu.
ila wanawake tunaambiwa "tuvumilie" loh i cant imagine ku-doo daily na mume ambae katoka alikotoka, ananata mijasho na kikwapa kilichochanganyika na perfume( halafu ukute perfume yenyewe ya kichina sasa), kafika kakukoromea bila sababu halafu anataka dudu, mbaya zaidi akishapata na kula, anapanda kitandani kulala bila kuoga, na anategemea mkumbatiane hadi asubuhi yewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, na ikifika alfajiria atataka tena yewiiiiii ndoa ngumu jamani uwiiiiii
Kabla ya ku Do mwambie mume wako akakoge hakuna kitu cha aibu baina ya Mke na Mume............ BADILI TABIA