Wanawake wanavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume

akaniuliza mbona haisimami ka zamani,nikamwambia we mbona nowdayz hujishughulishi,akastuka,tokea cku hyo haijawahi kugoma,napiga tatu,tano hadi mwenyewe anaomba nimalize pambano,ila namsifu,fuuundiiii
 
ila wanawake tunaambiwa "tuvumilie" loh i cant imagine ku-doo daily na mume ambae katoka alikotoka, ananata mijasho na kikwapa kilichochanganyika na perfume( halafu ukute perfume yenyewe ya kichina sasa), kafika kakukoromea bila sababu halafu anataka dudu, mbaya zaidi akishapata na kula, anapanda kitandani kulala bila kuoga, na anategemea mkumbatiane hadi asubuhi yewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, na ikifika alfajiria atataka tena yewiiiiii ndoa ngumu jamani uwiiiiii

BADILI TABIA, umenikumbusha mtu alishawahi kuja na bandiko hapa mumewe hataki kuoga. Tukamshauri amnyime unyumba, lol.
kauli za mwanaume na uchafu is a big turnoff
 
Kujamiiana kwenye jita pande zote ni sawa na wachezaji wa mpira wa miguu, pasipo kila mchezaji kuplay part yake ushindi hauji. Bila mwanamke kumpandisha ashki mwanaume asitegemee atapata furaha ya kutosha katika sita kwa sita! Vivyo hivyo kwa mwanaume nae lazima amuandae mwanamke, kwa hiyo mwisho wanandaana!
 
ila wanawake tunaambiwa "tuvumilie" loh i cant imagine ku-doo daily na mume ambae katoka alikotoka, ananata mijasho na kikwapa kilichochanganyika na perfume( halafu ukute perfume yenyewe ya kichina sasa), kafika kakukoromea bila sababu halafu anataka dudu, mbaya zaidi akishapata na kula, anapanda kitandani kulala bila kuoga, na anategemea mkumbatiane hadi asubuhi yewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, na ikifika alfajiria atataka tena yewiiiiii ndoa ngumu jamani uwiiiiii
Namshukuru mtoa mada,bcoz amenisaidia kujua jinsia ya "BADILI TABIA"siku zote nilikua nikidhani ni dume lenye miraba kutokana na comments zake,kumbe ni kidemu na wala hata mikononi mwangu hakijai lol!
 
hahahahah jinsia yangu huwa inabadilika badilika kutokana na aina ya thread....

Namshukuru mtoa mada,bcoz amenisaidia kujua jinsia ya "BADILI TABIA"siku zote nilikua nikidhani ni dume lenye miraba kutokana na comments zake,kumbe ni kidemu na wala hata mikononi mwangu hakijai lol!
 
Kweli usafi ni muhimu sana na ndio kitu cha muhimu laikini bila kusahau ugomvi nao unachangia sana kwenye kupunguza nguvu
 
Mazoezi ya viungo ni kila kitu. Unywaji wa vileo uliopindukia, ulaji misosi uliopindukia, uvutaji sigara, na mambo yanayofanana na hayo ndo yanaharibu, si mwanamke. Yaani ukiona ka-tatizo kadogo tu (kama mwanamke kunuka mdomo eti) kanaleta udhaifu kwenye shughuli, ujue mwili hauko sawa sawa. Yaani ukiwa fiti, mwanamke yeyote anafaa, ukishaji-tune kwenye shughuli hiyo!

Piga tizi la uhakika angalau mara tatu kwa wiki; yaani tizi la kusweti haswaa. Basi, hakuna cha mkuyati wala blue pill!! Hiyo ndo siri.

Hata kama mwanamke humpendi, ukiwa fizikale fiti, mambo hujipa!
 
ila wanawake tunaambiwa "tuvumilie" loh i cant imagine ku-doo daily na mume ambae katoka alikotoka, ananata mijasho na kikwapa kilichochanganyika na perfume( halafu ukute perfume yenyewe ya kichina sasa), kafika kakukoromea bila sababu halafu anataka dudu, mbaya zaidi akishapata na kula, anapanda kitandani kulala bila kuoga, na anategemea mkumbatiane hadi asubuhi yewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, na ikifika alfajiria atataka tena yewiiiiii ndoa ngumu jamani uwiiiiii
Kabla ya ku Do mwambie mume wako akakoge hakuna kitu cha aibu baina ya Mke na Mume............ BADILI TABIA
 
Ni kweli kuwa ujuzi (uliopungua au uliozidi sana), kauli na usafi husababisha athari za kisaikolojia, lakini tunapojadili suala la sita kwa sita, tusiangalie upande mmoja tu wa shilingi (Kaunga BADILI TABIA).

Kwa kuwa tendo la sita kwa sita (kuliita tendo la ndoa ni kosa) ni suala la pande mbili, lazima pande zinazohusika zishirikiane kikamilifu ili wote wajisikie raha; vyenginevyo ama humfanya mmoja akose ujasiri au kujisikia mtumwa na kushiriki kwa kutimiza wajibu tu.

shida kweli iko hapo
 
ila wanawake tunaambiwa "tuvumilie" loh i cant imagine ku-doo daily na mume ambae katoka alikotoka, ananata mijasho na kikwapa kilichochanganyika na perfume( halafu ukute perfume yenyewe ya kichina sasa), kafika kakukoromea bila sababu halafu anataka dudu, mbaya zaidi akishapata na kula, anapanda kitandani kulala bila kuoga, na anategemea mkumbatiane hadi asubuhi yewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, na ikifika alfajiria atataka tena yewiiiiii ndoa ngumu jamani uwiiiiii

Mmmh! kuna wa hivyo kweli BADILI TABIA, loh!
 
@mzizimkavu, wangu si tu kuwa akaoga bali tunakoga wote, si unajua kuoga pamoja inavyohamasishA? Lazima tushtue, hapo nilikuwa naimagine tu hali halisi vile mwanaume mchafu inakuwaje jamani, maana mie binafsi nisipooga siwezi kupata usingizi sasa kama mtu ana partner haogi? si balaa?

Kabla ya ku Do mwambie mume wako akakoge hakuna kitu cha aibu baina ya Mke na Mume............ BADILI TABIA
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom