Tatizo lipi ni pigo kwa mwanamke kuhusu nguza za kiume

Jitulambagu

Member
Mar 31, 2024
15
15
Habari wakuu.

Naomba niende moja kwa moja kwenye maada bila kupoteza muda.

1.Huyu ni mwanaume anayeweza mdudu tendo la ndoa Ata kwa zaidi ya dakika 30 na humrisha mwanamke ila tatizo lake mbegu zake hazitungishi mimba.

2.Huyu ni mwanaume anayeweza kutungisha mimba tena anaweza kua Ata kamzalisha mwanamke watoto 10 ila tatizo lako wakati wa tendo uume wake unapoingia ukeni hamalizi hata dakika1 anakuwa amemwaga mbegu zake na Hana hamu na tendo tena.

Swali je, kwa mwanamke ni mwanaume yupi unaweza mvumilia ikawa Sawa kwako.? Na kwa mwanaume ni bora uwe yupi Kati ya Hao?

N.B Nazungumzia wahusika wakiwa tayari kwenye ndoa, napia kumridhisha mwanamke si swala la kufanya tendo muda mwingi, ila ndiyo si kwa ndani ya dakika1.

Karibuni.
 
Habari wakuu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada bila kupoteza muda.
1.Huyu ni mwanaume anayeweza mudu tendo la ndoa Ata kwa zaidi ya dakika 30 na humrizisha mwanamke ila tatizo lake mbegu zake hazitungishi mimba
2.Huyu ni mwanaume anayeweza kutungisha mimba tena anaweza kua Ata kamzalisha mwanamke watoto 10 ila tatizo lako wakati wa tendo uume wake unapoingia ukeni hamalizi hata dakika1 anakuwa amemwaga mbegu zake na Hana hamu na tendo tena.
Swali je, kwa mwanamke ni mwanaume yupi unaweza mvumilia ikawa Sawa kwako.? Na kwa mwanaume ni bora uwe yupi Kati ya Hao?

N.B nazungumzia wahusika wakiwa tayari kwenye ndoa, napia kumridhisha mwanamke si swala la kufanya tendo muda mwingi, ila ndiyo si kwa ndani ya dakika1.
Karibuni.

Correction ==> mudu(mdudu), kumrizisha(kumrisha)
 
Habari wakuu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada bila kupoteza muda.
1.Huyu ni mwanaume anayeweza mdudu tendo la ndoa Ata kwa zaidi ya dakika 30 na humrisha mwanamke ila tatizo lake mbegu zake hazitungishi mimba
2.Huyu ni mwanaume anayeweza kutungisha mimba tena anaweza kua Ata kamzalisha mwanamke watoto 10 ila tatizo lako wakati wa tendo uume wake unapoingia ukeni hamalizi hata dakika1 anakuwa amemwaga mbegu zake na Hana hamu na tendo tena.
Swali je, kwa mwanamke ni mwanaume yupi unaweza mvumilia ikawa Sawa kwako.? Na kwa mwanaume ni bora uwe yupi Kati ya Hao?

N.B nazungumzia wahusika wakiwa tayari kwenye ndoa, napia kumridhisha mwanamke si swala la kufanya tendo muda mwingi, ila ndiyo si kwa ndani ya dakika1.
Karibun

Correction ==> mudu(mdudu), kumrizisha(kumrisha)
Hapo sina namba ni mwanaume wa tofaut mimi
 
Tunayakuza sana haya mambo,viungo viwili uke na uume tumepewa ili tuongeze wingi wetu kwa kuzaliana hatuna tofauti na kuku tena si ajabu Mungu aliweka utaratibu kama walivyo ngo’mbe au wanyama wengine kuingiliana kwa malengo jike likiwa horny likipandwa mimba iingie dume tena kazi halina mpaka msimu ujao.

Ukorofi wa binadamu mpaka leo amefikia kuwa na style inaitwa popo kanyea mbingu sijui hata haya majina wanayatoa wapi wengine wakaenda mbali kuvumbua madawa ili wakawie kwenye tendo!!
 
Tunayakuza sana haya mambo,viungo viwili uke na uume tumepewa ili tuongeze wingi wetu hatuna tofauti na kuku tena si ajabu Mungu aliweka utaratibu kama walivyo ngo’mbe au wanyama wengine kuingiliana kwa malengo jike likiwa horny likipandwa mimba iingie dume tena kazi halina mpaka msimu ujao.

Ukorofi wa binadamu mpaka leo amefikia kuwa na style inaitwa popo kanyea mbingu sijui hata haya majina wanayatoa wapi wengine wakaenda mbali kuvumbua madawa ili wakawie kwenye tendo!!
Dhambi ndio chanzo cha hayo yote.
 
Tunayakuza sana haya mambo,viungo viwili uke na uume tumepewa ili tuongeze wingi wetu kwa kuzaliana hatuna tofauti na kuku tena si ajabu Mungu aliweka utaratibu kama walivyo ngo’mbe au wanyama wengine kuingiliana kwa malengo jike likiwa horny likipandwa mimba iingie dume tena kazi halina mpaka msimu ujao.

Ukorofi wa binadamu mpaka leo amefikia kuwa na style inaitwa popo kanyea mbingu sijui hata haya majina wanayatoa wapi wengine wakaenda mbali kuvumbua madawa ili wakawie kwenye tendo!!
Kuna Ile "mpishi kasusa"
 
Back
Top Bottom