mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,163
- 787
tujifunzeni kusummarise,
Mnatukera sana.... hadi hasira zinapanda. Niwie radhi kama nimekuudhi.
Hapana Remmy, sijaudhika...sana sana uniwie radhi kwa 'kukuchokoza'
Kukera inategemeana na mtu uliyekutana naye
Lakini pia nikumbushie wimbo huu hapa kwa ajili ya reflections
Mambo ya aitel.
Shauri yako,mi darasa la saba..........!
Kaunga mamito miye ni dada yake wa moyoni so sitoweza mila zetu siye azigua haziturusu. Anatakiwa shemeji yake ( mke wa kaka yake) ndio awe mfundaji na hapa na propose cacico akisaidiana na sweetlady.Vifaa kama msuli na pumba nitawaandalia.
elimu na umri - atakuwa na uelewa zaidi yangu. pesa hata cku nikikwama atanipa mtaji. umbo - security
Basi wewe ni mkali maana comment zako hazijakaa ki-std 7, back to the point, kinadada sometimes wajifunze kuibua vipaji maana kwa style hii ndio maana wengine wanaangukia kwa watu ambao hawaendani in terms of tabia na mitazamo. Kuna wanaume wengine wanasoma kama watapata mtu wa kuwatia moyo lakini kila mdada akikimbilia ready made (ambae amesoma) mwisho wa siku manyanyaso kwa kinadada hayaishi. Mdada unaweza ukawa na mtu ameishia form 6 anaendesha maisha yake vizuri na wewe ni graduate hapa hakuna shida ni kutiana moyo kwani unaweza shangaa mwanaume wako akapiga buku mpaka PHD
Wadada mliochangia humu,mna tatizo moja,kwa nini mnapotendwa na mwanaume mmoja mnaapa kutafuta mwanaume aliewazidi?Acheni kuwahukumu wengine kwa matatizo ya wengine.Hao wasiojiamini hawajui MWANAUME hasa ni nani.Kama ni hivyo,vipi kuhusu mume wa Chancelor wa Ujerumani?Mbona amezidiwa na mkewe na maisha yanaenda?Vipi kuhusu Ellen Jonson Selif?Umewahi kusikia mambo ya hovyo ya uhusiano wake?Wanaume dhaifu wapo sikatai lakini ni kwa kiwango kidogo sana dada zangu. . . . . . . . . . . . .Kuna mfano mwingine,wale ma-celleb wa dunia kama Serena Wiliams,Britney Spears,Rihanna,Cindy Crowford,Julia Roberts na wengineo waliwahi kusema kuwa wanahitaji wanaume wa hali ya chini ili wafurahie maisha na uhusiano,hivi mnadhani ni kwanini walisema hayo kama mnadhani kumzidi mwanaume kuna matatizo?Au na hao wana mawazo finyu kwa sababu hawajaenda shule?