Wanawake wamefanikiwa kuwaaminisha wanaume kuwa Ngono ni Raha ya Mwanaume tu, wao hawapati chochote

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,052
71,361
Na hapo ndipo wanaume wengi wamekua watumwa, wafujaji wa Mali na Pesa, wamekua watu wa ovyo ovyo.

Ukweli ni Kwamba kwenye Ngono, Kitaalam wanawake hupata Raha sana kuliko hata wanaume.

Mwanamke hupata raha kuanzia mwanzo hadi mwisho wa tendo lakini mwanaume hupata raha pekee anapofika kileleni.

Na Vijana wengi wameingia kwenye huu mtego, unahasooo weee, Unapata hela, unaenda kukutana na mwanamke na hela yote unabakisha huko.

Kwani yeye utamu aloupata, anakulipia nini?

Haujawahi kukutana na mwanamke akakuambia hajawahi kupata raha kama uliyompa wewe? Kwanini yeye pia asikulipe?

Ndio Sababu Mashangazi, huwajengea nyumba na hata biashara wanaume wanaowaridhisha kwelikweli.

Niseme tu, UKIONA Demu anahusianisha mbususu yake na Pesa yako huyo ni chuma ulete.

Acheni kudeti mademu wenye njaa ambao kukupa mbususu atakuambia 'Nakuletea lakini Mimi nina shida ya laki Moja, kama huna niambie kabisa".

Hudumia Kwa mapenzi yako, Mpe Hela Kwa mapenzi yako, Mpe Kwa sababu ni Mpenzi wako Kwa maana ya kwamba, hata ukiwa huna Hela Kwa wakati huo, akuelewe huna na mbususu akupe Kwa sababu wote Mnapata utamu.
 
ambao kukupa mbususu atakuambia 'Nakuletea lkn Mimi Nina shida ya Laki Moja , kama huna niambie kabisa".
😂 sema genye mbaya sana, kuna jamaa yangu kazama mazima kwa jimama lake halimpi show bila 50K na kilo ya kitimoto mezani. Nahisi katengenezwa asee maana analikubali kinoma yupo radhi akope ili akafurahi na jimama lake, aliniambia analiacha ila kashindwa.
Huduma, Hudumia Kwa mapenzi yako, Mpe Hela Kwa mapenzi yako, Mpe Kwa sababu ni Mpenzi wako Kwa maana ya kwamba, hata ukiwa huna Hela Kwa wakati huo, akuelewe hunaz na mbususu akupe Kwa sababu wote Mnapata utamu
N A K A Z I A
 
FB_IMG_1712175734853.jpg
 
Hana kitu kibaya kama ngono kuilinganisha na fedha.Unakuta binti anatress za marejesho, vikoba,mikopo, michezo majina matatu,kwa hizo stress demu hata humfanye nini humkojozi hata uwe mbunifu vipi.Kwanza Ke anafikiria umalize, umpatie hela ya vikoba/mchezo swala la hisia halipo kabisa kichwani mwake, ndio maana miguno ya siku hizi ni ya uongo.
 
Sisi wanaume wenyewe ndo huwa tunawaendekeza wanawake na kufanya waonekana Ni watamu kuliko kuliko uhalisia wenyewe.
 
Back
Top Bottom