Wanawake wanataka wenye...

Usijali dada yangu najiamini sana na wala hilo sio tatizo kwangu.Inakuaje kama sina hela ya kujiendeleza?Unataka kuniambia sitapata mpenzi muda huu mpaka nisome?Jamani mambo gani haya?Maskini wataoa wapi na lini?
mimi kwa mtazamo wangu hilo la hela wala si tatizo , wala kutokusoma! tatizo langu kubwa ni bikira yako tu! i need an expert one, ebo! Kaunga bikira ya mumeo bado hujafanikiwa kuitoa tu?? ebo!
 
Last edited by a moderator:
mimi kwa mtazamo wangu hilo la hela wala si tatizo , wala kutokusoma! tatizo langu kubwa ni bikira yako tu! i need an expert one, ebo! Kaunga bikira ya mumeo bado hujafanikiwa kuitoa tu?? ebo!

Yaani itabidi niombe pack ya makungwi tusaidiane maana; ila tusimtoe roho tu virgin wangu! gfsonwin huo ukaka si unauweka pembeni kwa muda wakati tunambikiri Eiyer si eti eeh!
 
Last edited by a moderator:
mbona mapenzi ya mkopo yapo we Eiyer huwa unaenda kuwatafutia mlimani city nini?watu wanapenda mwanaume kisa anamtreat vizuri pesa pembeni asikwambie mtu njoo huku tandale utawakuta wanaokopwa ujichukulie wa kwako hao wanaokupa headache achana nao hawakufai.
 
mimi kwa mtazamo wangu hilo la hela wala si tatizo , wala kutokusoma! tatizo langu kubwa ni bikira yako tu! i need an expert one, ebo! Kaunga bikira ya mumeo bado hujafanikiwa kuitoa tu?? ebo!

Una mambo wewe,haya bana!
 
Last edited by a moderator:
Yaani itabidi niombe pack ya makungwi tusaidiane maana; ila tusimtoe roho tu virgin wangu! gfsonwin huo ukaka si unauweka pembeni kwa muda wakati tunambikiri Eiyer si eti eeh!

Mh!Wife kulikoni tena na gfsonwin!Huyo ataleta shida!
 
Last edited by a moderator:
mbona mapenzi ya mkopo yapo we Eiyer huwa unaenda kuwatafutia mlimani city nini?watu wanapenda mwanaume kisa anamtreat vizuri pesa pembeni asikwambie mtu njoo huku tandale utawakuta wanaokopwa ujichukulie wa kwako hao wanaokupa headache achana nao hawakufai.

Ngoja nije maeneo hayo,naweza nikapata zali!
 
Ukweli ni kwamba, wanawake wengi mimi included tunataka mwanaume ambaye anakupenda na he can take care of you, financially na kimawazo na kimtazamo; hivyo basi tungeprefer au tunadream kuwa awe na uwezo kukuzidi (kama wewe unao any), elimu/uelewa wa mambo kukuzidi n preferable hata akuzidi walau miaka 2.

Ukipata unaye mzidi hivyo vyote juu, hata kama unanpenda kiasi gani, kama uelewa wake mdogo ndoa huwa na shida sana. Nami nimeshashuhudia my friends ambao ndoa zimevunjika coz mwanaume hajiamini na kuamua kuwa physical just
to prove yeye ndie man of the house.

I was in a sort of the same relationship, sikumzidi pesa, but elimu na mafanikio; siwezi rudia bora niwe peke yangu aisee!

Sikatai, kuna baadhi yetu tunakuwa na nyodo lkn ni wachache sana kuliko wanaume mnavyopenda kujiaminisha ktk story zenu kiasi kwamba mnaanza kujihami kwa ubabe usio na kichwa wala miguu.

Kuhitimisha nasema, wanawake hatupendi kudanganywa but tunahitaji mwanaume tunayeweza mtegemea!

Uko very right Kaunga. Wanaume wanawahukumu sana wananwake wakati nao wanafanya vivyohivyo. Yapo mapenzi ya dhati, mtu anatoka uzunguni nakwenda kulala chini uswazi, wapo pia wanaume wanaangalia kipato cha mwanamke tena sikuhizi ni wengi tu na ni kawaida.

Hapo kwenye shedi, hii inatokea sana mwanaume hujifeel inferior na kuwa na kukosa kujiamini. I had a boyfriend of such kind, nilimzidi kielimu, mshahara na hata upeo, iloved him truly and he loved me too. But sababu ya tofauti hii alijiona dhaifu, akawa na phyisical attack lastly nikafikia kukatisha mahusiano, tulikubaliana tuachane, lakini mwenzangu akoana nimemwacha kisa yeye ni maskini, he commited suiced, MAY HE RIP!. Niliapa kuwa na mahusiano na mwanaume aliyenizidi kila kitu, Umri kuanzia 5 and above, elimu, fedha na akili.
 
shositito King'asti pana kitu kimoja ambacho huwa tunakisahau. achilia mbali mlitoka wapi na mko wapi sasa, la msingi ni tutaendeleza upendo na mapenzi yetu vipi? hilo ndo la msingi. na hapo ndipo penye mtihani haswa

mimi principle yangu nampa uhuru atakavyo na mimi nipewe uhuru nitakavyo let my conscious choose for me what to o and what not to do. ukianza kumchunga sana mwanaume hasa wakati mnapokuwa na neema ya maisha jua sasa ndio unampoteza.

wanaume walio wengi wanapenda wadharauliwe in terms of yaani wereva they do do not draw your attention to it. Dharau kisha ishi maisha yako safi, pendeza sana mno yaani hapa uwe nyoko kweli kweli. halafu timiza wajbu wako ndani nakwambia atachachawa lkn atarudi tu tena na mapenzi motomoto but ukiwa ni mtu wa kulia from morning to evening uso unanyorodoka hakika maisha ya ndoa yatakuwa msalaba ma dia. ngoja nikuandikie pm just a story of ma life you will understand what i mean

Mmmh leo dada yangu gfsonwin naona umeamua kumwaga yote kabisaaa, yaani nimeshindwa kuvumilia ingawa sijamalize kusoma comments zote, ila safi sana, it's good to be open and to have ur own principles!
 
shositito King'asti pana kitu kimoja ambacho huwa tunakisahau. achilia mbali mlitoka wapi na mko wapi sasa, la msingi ni tutaendeleza upendo na mapenzi yetu vipi? hilo ndo la msingi. na hapo ndipo penye mtihani haswa

mimi principle yangu nampa uhuru atakavyo na mimi nipewe uhuru nitakavyo let my conscious choose for me what to o and what not to do. ukianza kumchunga sana mwanaume hasa wakati mnapokuwa na neema ya maisha jua sasa ndio unampoteza.

wanaume walio wengi wanapenda wadharauliwe in terms of yaani wereva they do do not draw your attention to it. Dharau kisha ishi maisha yako safi, pendeza sana mno yaani hapa uwe nyoko kweli kweli. halafu timiza wajbu wako ndani nakwambia atachachawa lkn atarudi tu tena na mapenzi motomoto but ukiwa ni mtu wa kulia from morning to evening uso unanyorodoka hakika maisha ya ndoa yatakuwa msalaba ma dia. ngoja nikuandikie pm just a story of ma life you will understand what i mean

Umenikonga moyo dada yangu wa moyoni.
 
nimekupa like si kwamba umepatia bali kwa kunikosha roho tu. Eiyer piga ua siyo wanawake wote siku hizi ni wabaya interms of hawapend kwa dhati. Wapo ila yakupasa umchague kwa makini na kwaku maanisha. tatizo lenu vijana wa leo mnabweteshwa na nani anajua kufanya matusi vizuri na huyu mkimpata mnaona mengine yatajisolve kumbe ni bora asiyejua utamfunza lakin awe na nidham nzuri na ueleewa wa maisha na hili limekuwa ni tatizo kwa vijana wote wa kike na wa kiume.

labda nikuulize Eiyer kuna umuhimu gani kuoa mtu anayejua kufanya matusi halafu hana nidhamu wala upendo wa kweli? si kweli kwamba matus peke yake ndiyo yanayojenga nyumba ni zaid ya hapo n yote waweza yatengeneza bali tabia ya mtu ni ngumu sana.

Wanajifanya mi yangu tamu, najua kugonga hasa, kamaliza. Yanajidanganya eti wanawake wanapenda mkaka anayejua kugonga, yanabweteka yamemaliza, nyooo.
 
pole sana ndg yangu maisha ndivyo yalivyo..ila mi napenda kuwashauri wadada maana mwanaume kwa mwanamke anatakiwa awe na sifa 3 kuu.lakin mpaka sasa hajathibitika mwanaume mwenye kuwa nazo,wengi tuna moja walio bahatika 2.so ladies msi2tenge kihivyo jamani...uckate tamaa utampata mwenye kujua kuwa ufukara si ulemavu atakuelewa tu!
 
Wanajifanya mi yangu tamu, najua kugonga hasa, kamaliza. Yanajidanganya eti wanawake wanapenda mkaka anayejua kugonga, yanabweteka yamemaliza, nyooo.

sasa Remmy, hadi utukane?:sad::mod:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom