Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 7,461
- 9,457
hakuna ndoaWewe ndo mjinga 1, wanaume wangekuwa wajinga wangekaa na hao wanasheria pia.
Cc Shangazi Fatuma.
hakuna ndoaWewe ndo mjinga 1, wanaume wangekuwa wajinga wangekaa na hao wanasheria pia.
Cc Shangazi Fatuma.
Dah!Ila mama yangu alipata shida sana kulea mtoto kama mimi ingawa alikuwa mwalimu.Nikiwa mzima kabisa sina tofauti na aliyevuta bangi.Akili yangu naijua mwenyewe. 😂😂😂😂😂Sahihi Kabisa
Thread ifungwe 😹Kama anaweza kukaa na wajinga zaidi ya 100 shuleni atashindwa kukaa na huyo 1 wa nyumbani😀
Mpe moyo Bujibuji Simba Nyamaume anataka kubebwaMarahaba😉 nimetoka job nipo hoi 🥵
Sikubali.Nakata rufaa.Thread ifungwe 😹
Mi tangu nisome kisa chako na Yule jamaa wa makambako...sina hamu nawe aiseeDah!Ila mama yangu alipata shida sana kulea mtoto kama mimi ingawa alikuwa mwalimu.Nikiwa mzima kabisa sina tofauti na aliyevuta bangi.Akili yangu naijua mwenyewe. 😂😂😂😂😂
Aina yako ni mali😂😂Thread ifungwe 😹
Unaona sasa mambo ya wanasheria hayaSikubali.Nakata rufaa.
Huyo ni mpenzi wangu ila amenisubirisha..so nami ndiyo nipo busy na TAJIRI MKUU WA MATAJIRI 😜Mpe moyo Bujibuji Simba Nyamaume anataka kubebwa
Mpwayungu Village kadumu sana kwenye ndoaNafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina.
Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto.
Baadhi walifanikiwa kuingia kwenye taasisi ya ndoa, wengi ndoa zao zikafa, licha wapo wachache zimesimama imara.
Kwanini hali ni tofauti na walimu ambao wengi wao wameolewa na ndoa zao zinadumu sana?
Sijui kapotelea wapi yule gogoz!Au kapata tenda ya kukusanya ubuyu uende Amerika?Mpwayungu Village kadumu sana kwenye ndoa
Kwishaaaaa. Anapata mwl harafu ana bet. Ataimba sana😀😀Huyo ni mpenzi wangu ila amenisubirisha..so nami ndiyo nipo busy na TAJIRI MKUU WA MATAJIRI 😜
🤣🤣🤣🤣nimecheka kweli yaanKwishaaaaa. Anapata mwl harafu ana bet. Ataimba sana😀😀
Mume wake kamkataza asiingie tena JFSijui kapotelea wapi yule gogoz!Au kapata tenda ya kukusanya ubuyu uende Amerika?
Astaghifilulah!Siyo MashaAllah tena.Ni maisha raha.😎Mume wake kamkataza asiingie tena JF
Babe si uje karibu yangu tucheke cheke pamoja halafu tufurahie...🤣🤣🤣🤣nimecheka kweli yaan
😂😂😂🤣🤣🤣🤣nimecheka kweli yaan