Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,946
- 5,852
Ndugu kwa masikitiko makubwa naandika
Sijui wanawake wa kaskazini wanaume zao waliwakosea nini, kiasi cha wanawake kuwapeleka mbio mbio na kuwanyanyasa wanaume zao
Wana mfumo dume uliobakia midomoni mwao ila ndani mfumo jike ndiyo unaotawala hakika na waambieni, wanawake wanawanyanyasa sana hawa wanaume wa huku
Ni wakaidi ukiwaona, wababe , wenye misimamo mikali na miili iliyo jaa na kutuna misuli kwa mbali ila ukweli usiopingika wananyanyaswa sana na wanawake zao siyo kwenye uchumba au ndoa wananyanyaswa kila sector mfano hakuna. Wanawake zao ni wababe, wanaume wa kasakazini wanapigwa kabali, ngumi , kuchomwa kisu ni jambo la kawaida sana na hawana pakusemea hakika wanagugumia mioyoni mwao
Wanaume wa kaskazini wanapigwa na wake zao huko ndani, hawana amani ya moyo na asilimia kubwa wana magonjwa ya presha na mishtuko ya hapa na pale wakisikia sauti za wake zao.
Wanaume wa kaskazini wanasonona kali inayowapelekea kuvuta bangi na kutumia pombe kali sana baada ya kunyanyaswa na wanawake zao kimapenzi huko ndani, wanapelekeshwa na kupelekwa mchaka mchaka na wanawake zao pasi na kuonewa huruma yeyote ile
Wanaume wengi wa kaskazini wengi wameburuzwa kibabe sana lockup na wake zao, mademu zao na wachumba zao pasi na sababu za msingi, wanahudhuria kesi na mashitaka wanayoshitakiwa na wake zao yasiyo na kichwa wala miguu, utawakuta serikali za mitaa wakishitakiwa , utawakuta kwenye mabaraza ya wazee wakishutumiwa na wengine utawakuta sero wametupwa huko na wake zao, huku wanawake zao kuingia mitini
Utawakuta wanafanya kazi kwa bidii sa a ila wananyang'anywa hela wafikapo ndani, wanawake wa kaskazini wanadiliki kuwasachi waume zao na kuchukua vyote jamaa alivyo vitafuta, mwanume hawapikiwi chakula wanaishi kula mighahawani na wengi wao wanachoteshwa maji huko mabombani na wake zao, wanajifulia wenyewe na kufata watoto shule tena kwa amri za wake zao na ole wao wasifanye hivyo watajaziwa inzi
Hawasikilizwi na wake zao kabisa na wakilazimisha kusikilizwa kukimbizwa na panga, kushikiwa beto, kutishiwa kuuwawa ni jambo la kawaida mno, wanaume wa kaskazini wananyanyasika mno na hakuna wa kuwasaidia
Haki sawa imeshamiri dhidi ya wanawake zao, wanawake kudanga , kutoka bila ruhusa ya mume na kumjia usiku ni jambo la kawaida , wanawake kuwatelekezea wanaume watoto ni fasion hata kuzivunja ndoa huku kaskazini ili mali igawanywe ni fasion kwao, wanaume wa huku hawana wa kuwasaidia wanapelekwa mbiombio na wake zao
Ndugu hawa wanaume wa kaskazini wanahitaji uangalizi wa karibu sana, wanahitaji kusaidiwa kisaikolojia, wanahitaji kufarijiwa na kuombewa hakika maana wanateswa sana na wake zao kiasi cha wao kuamua kuishia vijiweni kwenye bangi na matumizi ya pombe kali