Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa wabaya sana?

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,394
Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa waovu Sana.

Wanawake wengi wamejaa ujeuri, umalaya, roho mbaya, uongo, Ukatili, kukosa utu, kupenda pesa kupita kiasi.

Mbona wanawake miaka ya 2000 down hawakuwa hivyo. Hizi tabia siku wamezitoa wapi.

Wanawake wamekuwa vyanzo vikubwa vya uvunjifu wa ndoa. Wanawake hawaheshimi tena waume zao. Hawa watu wamevamiwa na nini? Wanawake wameiharibu mno dunia. Wanafanya umalaya utafikili mbwa. Wamegeuka kuwa ombaomba kwa kutumia jinsia zao.

Sijui wamepatwa na nini
 
Me naona uovu na vyote hivo chanzo ni wote si wanawake tu.
 
Ila wanawake wamekuwa makatili sana assume yule wa mbeya aliyeua wanae wanne kwa sumu dah kweli mbinguni kuna watu watachomwa moto wawekewe na matairi juu na kupigwa mawe mpaka wachakae
Wanawake wanawake kuna mahali mnamkosea Mungu na hiki kisingizio chenu cha 50%kwa 50% mnakitumia vibaya msiwafuate wazungu bakini kwenye mila na tamaduni zenu
 
Wanaume wengi wamekua legelege.
Kama una kizazi cha wanaume wanao abudu wanawake, wanao kandamiza wanaume wenzao kisa mwanamke, mashoga, wanao pelekeshwa na tamaa zao za kumwaga na wapo tayari kufanya chochote ili wapate pa kumwagia.
Unategemea wanawake watakua sawa?
NB: Ukiharibu wanaume umeharibu jamii nzima.
 
Technological progress.
Mambo yamebadilika uwepo wa mitandao unafanya watu wajifunze tabia mpya Binti yako uliemlea kwa maadili ya kujiheshimu siku akishika smartphone akamuona gigy money anaishi maisha mazuri(feki) akiulizwa kazi yake ni nini haoni aibu kusema ana danga/umalaya siyo ajabu na yeye akaona kumbe inawezekana na umalaya siyo kitu cha ajabu.

Sahivi mabint hawaoni aibu kusema wana danga na wako proud kabisa wakati zamani ilikua ni aibu, hivyo hivyo kwa wanaume wanaokua mashoga.
 
Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa waovu Sana.

Wanawake wengi wamejaa ujeuri, umalaya, roho mbaya, uongo, Ukatili, kukosa utu, kupenda pesa kupita kiasi.

Mbona wanawake miaka ya 2000 down hawakuwa hivyo. Hizi tabia siku wamezitoa wapi.

Wanawake wamekuwa vyanzo vikubwa vya uvunjifu wa ndoa. Wanawake hawaheshimi tena waume zao. Hawa watu wamevamiwa na nini? Wanawake wameiharibu mno dunia. Wanafanya umalaya utafikili mbwa. Wamegeuka kuwa ombaomba kwa kutumia jinsia zao.

Sijui wamepatwa na nini
2 Timotheo

3.1 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.

3.2 Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi,

3.3 wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali,
wasiopenda mema,

3.4 wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu;

Hizi Ni nyakati za HATARI kwasababu ni siku za mwisho🔥
 
Wanaume wengi wamekua legelege.
Kama una kizazi cha wanaume wanao abudu wanawake, wanao kandamiza wanaume wenzao kisa mwanamke, mashoga, wanao pelekeshwa na tamaa zao za kumwaga na wapo tayari kufanya chochote ili wapate pa kumwagia.
Unategemea wanawake watakua sawa?
NB: Ukiharibu wanaume umeharibu jamii nzima.
Thread ifungwe, tukatoe.....ndo mida
 
Back
Top Bottom