Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

Hivi ni kweli wadada wengi wanasheria hawako kwenye ndoa na walimu walio wengi wapo kwenye ndoa au ni hisia tu za watu kutokana na anecdotes zao?
Tanzania ni vigumu kujua kwa data, kwa sababu hatuweki data.

Halafu suala zima limekaa kikudakuda hivi, ki puritanism, so what if one is married or not? Hilo ni jambo lake binafsi.

Wewe tafuta anayekufaa hata kama ni alien kutoka Andromeda Galaxy.
 
Back
Top Bottom