Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina.

Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto.

Baadhi walifanikiwa kuingia kwenye taasisi ya ndoa, wengi ndoa zao zikafa, licha wapo wachache zimesimama imara.

Kwanini hali ni tofauti na walimu ambao wengi wao wameolewa na ndoa zao zinadumu sana?
Hao viazi lolote liwakute asee
 
Walimu hawana pesa wanategemea sana wanaume, kwa hivyo hawana uhuru wa kutoka kwenye ndoa hata kama wanapigwa.

Wanasheria wana pesa, wanajua sheria, wakizinguliwa kidogo tu wanasepa.
 
Wanajua sheria, wana uzoefu na viapo. Kwanini wanakubali kanisani kuapa kwamba tutaishi pamoja kwenye shida na raha, nitakuwa mtiifu hadi kifo kitutenganishe?
 
Back
Top Bottom