Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina.

Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto.

Baadhi walifanikiwa kuingia kwenye taasisi ya ndoa, wengi ndoa zao zikafa, licha wapo wachache zimesimama imara.

Kwanini hali ni tofauti na walimu ambao wengi wao wameolewa na ndoa zao zinadumu sana?
Mpwayungu Village kadumu sana kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom