wote humu ni hot
so far so good...
unataka kuwaaa my sweety sixteen kongosho au vsvesa 16 iko 61
Nicas Mtei, kikao cha maprofesheno ulienda Leopard?Unashangaa mapema, mbona wewe hujishangai?Meku naona leo umeamkia maeneo. Mbn mapema ndugu yangu?
Kongosho, nianzie Rombo nije mjini na mimi nimetokea mjini?We vipi bana lol!Ama unazungumzia mji gani?Hongera kwa kumaliza finals zako.
Lazima ukaanzie rombo kwanza ndio uje mjini, pale kuna saccoss, ntakupa namba ya :eek2:mrema:eek2: atasimamia.
Then, who is hot, lukewarm(ila hili neno linarandana na sardines), or cold?
Kongosho, nianzie Rombo nije mjini na mimi nimetokea mjini?We vipi bana lol!Ama unazungumzia mji gani?
Nimegraduate, so niko mtaani, hukunisoma pale kwenye "off cha chain"?lol!Hata kama umesomea Las Vegas, ukirudi TZ lazima ukaanzie Rombo
Pale ndio Ikweta ya Mchaga yeyote, tena wewe Mushi ndo Yerewiii laziima uende home kwanza(Accent ya kichaga pure)
Afu si unajua kuanzia kesho kutwa tunafunga shule? Nenda katoe shout outs kwa uatakaowamiss kule tangazoni.
I love antelopes, btw was being honest jamani.
JMushi uliniona wapi?Kongosho, kuhusu wanawake humu, nasikia ushachukuliwa, watu wanaclaim.Things went faster than i thought!lol
Sasa mimi shida sijaona wengi humu,(wanawake) nyie mnajuana wengi wenu,najuwa kuna warembo humu, sijaona wengi, mmoja tu pengine,ama wawili plus Lizzy, ila kwa michango na sense of humour nakuaminia, kwanza miye ndo niligunduwa kipaji chako, bisha?lol!
Mapi taja bana. . .bifu hamnaga chiti chati.
Kongosho, kuhusu wanawake humu, nasikia ushachukuliwa, watu wanaclaim.Things went faster than i thought!lol
Sasa mimi shida sijaona wengi humu,(wanawake) nyie mnajuana wengi wenu,najuwa kuna warembo humu, sijaona wengi, mmoja tu pengine,ama wawili plus Lizzy, ila kwa michango na sense of humour nakuaminia, kwanza miye ndo niligunduwa kipaji chako, bisha?lol!