Wanawake wa JF. . .who is hot, who is not.

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,800
59,267
Baada ya kuwafagilia na kumponda klorokwini last time, hii ni zamu ya wadada.

Ni m(wa)dada)/m(wa)mama gani hapa JF kutokana na namna wanavyochangia mambo, interect na watu wengine, mbwembwe zao unadhani wanavutia kwa sura na umbo (mwili)unaoeleweka badala ya lijitambi lisilobebeka hata kwa toroli?
 
Last edited by a moderator:
Dah wapo wengi sana, kwa kuanzia naomba nianze na hawa.Afrodenzi: huyu ni kifarasi kikipita na high heels ni kwa kwa kwa kwaAdhaDii, huyu ni mmama anayeenda na wakati na busara zinamfanya awe hotLizzy, is hot japo ana-urgue hata kwenye first dateSmile, is hot na yale makeke anaonekana kiuno juu kama dondolaYummy, hot like an antelopeMwali, ile innocense inamfanya awe hotNtakuja kwa toleo la pili
 
Mie naona Lizzy ndio mrembo kuliko wote humu ndani
faiza foxy nakufagilia wawawawa...you are bold,tough,straight forward,hujui kumung'unya maneno,nakukubali.
Darlingtone,kwa kukiri unatembea na waume za watu,that is what i call honesty.Humu jf watu kibao wanajitia houlier than thou kumbe wazinzi wa kutupwa.
Finally la'aziz tunda la moyo wangu,weekend tutoke kivipi?nitakuja arusha.
 
Last edited by a moderator:
mi siwezi jua mtu yukoje kwa jinsi anavyoandika humu...based on my past experience i never judge a book by its cover...:A S 13:
 
Ha ha ha ha ha ha, hivi vugu vugu kwa kizungu ni nini?
Nadhani itakuwa ni halfhot halfhot.

Wifi hiyo itafanya watu waniogope humu. . .au hutaki nivutie zaidi ya kaka yako?

Asprin binafsi nasema Kongosho is not hot. . .na huo uhot nilipoupimia wewe huwezi kufika ndo maana hujui.

Bishanga huyo laaziz unamuimagine au yupo kweli?
Umenena vema, ungesema yuko hot ungenitambua. Kuna mikware humu lazima ingeisarandia asali ya ODM. Sipendi kesi za kukanumba watu asee...:hat:
 
Lizzy unatutafutia visa wewe tutaje halafu tukiulizwa tumejuaje tutajibuje..............

Ha ha ha ha kuna mtu mmmhhhh ngoja nisepe mie nisije sutwa bure........
 
Nadhani itakuwa ni halfhot halfhot.

Umenena vema, ungesema yuko hot ungenitambua. Kuna mikware humu lazima ingeisarandia asali ya ODM. Sipendi kesi za kukanumba watu asee...:hat:

Mie ni icing cold labda.
 
Nadhani itakuwa ni halfhot halfhot.

Umenena vema, ungesema yuko hot ungenitambua. Kuna mikware humu lazima ingeisarandia asali ya ODM. Sipendi kesi za kukanumba watu asee...:hat:

Mbona washatuma PM.

Haya embu fagilia vijukuu vyako kabla havijadanganywa na mabazaaz ya mtaani.
 
Lizzy unatutafutia visa wewe tutaje halafu tukiulizwa tumejuaje tutajibuje..............

Ha ha ha ha kuna mtu mmmhhhh ngoja nisepe mie nisije sutwa bure........

Dena Amsi mbona juzi tumewataja wakaka? Hamna cha umejuaje wala nini. . . we kama unajua/hisi/fahamu tudokeze na sie tukiguswa tufanye upelelezi wa kujitegemea.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom