Wanawake wa JF. . .who is hot, who is not.

Baada ya kuwafagilia na kumponda klorokwini last time, hii ni zamu ya wadada.

Ni m(wa)dada)/m(wa)mama gani hapa JF kutokana na namna wanavyochangia mambo, interect na watu wengine, mbwembwe zao unadhani wanavutia kwa sura na umbo (mwili)unaoeleweka badala ya lijitambi lisilobebeka hata kwa toroli?

.. Preta...wengine wanafuata...
 
Last edited by a moderator:
i like smile she is hot afuu inaonekanaaa sister du flaniii niniii....afu lizy ni muhot joo inaonekana dada flani makamo...kongosho she is hot afu style ya dada flani wenye chali[mtoto}mmoja hivii swagger flani za wadada wa mjini,dena hot open mind,first lady dada wa mjini ujanjaa mwingi...kuna yuleee dada angu wa arachugaaaaa mselaaa sana afu hot mbayaaaaa
 
mimi nipo cool sana kamanda......
ila bange mbaya mkuu acha........
 
B'REAL naandamana, unamaanisha mie ni Lawino/Ocol?
Ungejua I will be 16 this June.

i like smile she is hot afuu inaonekanaaa sister du flaniii niniii....afu lizy ni muhot joo inaonekana dada flani makamo...kongosho she/he is hot afu style ya dada flani wenye chali[mtoto}mmoja hivii swagger flani za wadada wa mjini,dena hot open mind,first lady dada wa mjini ujanjaa mwingi...kuna yuleee dada angu wa arachugaaaaa mselaaa sana afu hot mbayaaaaa
 
Last edited by a moderator:
i like smile she is hot afuu inaonekanaaa sister du flaniii niniii....afu lizy ni muhot joo inaonekana dada flani makamo...kongosho she is hot afu style ya dada flani wenye chali[mtoto}mmoja hivii swagger flani za wadada wa mjini,dena hot open mind,first lady dada wa mjini ujanjaa mwingi...kuna yuleee dada angu wa arachugaaaaa mselaaa sana afu hot mbayaaaaa

B'REAL
Heheheheh. . .dada wa makamo ndo wa kama umri gani hivi B?
 
Last edited by a moderator:
Dah wapo wengi sana, kwa kuanzia naomba nianze na hawa.Afrodenzi: huyu ni kifarasi kikipita na high heels ni kwa kwa kwa kwaAdhaDii, huyu ni mmama anayeenda na wakati na busara zinamfanya awe hotLizzy, is hot japo ana-urgue hata kwenye first dateSmile, is hot na yale makeke anaonekana kiuno juu kama dondolaYummy, hot like an antelopeMwali, ile innocense inamfanya awe hotNtakuja kwa toleo la pili

Kongosho huna adabu nimetoa kicheko kibayaaaaa hahahaaaaaa hufai wewe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom