Vazi la Isdal linavyowatayarisha wanawake wa Gaza kwa vita na kuheshimika. Mungu kaona juhudi zao

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,921
Katika vita vya Gaza vinavyoelekea ukingoni baada ya hasara kubwa, tumeshuhudia mambo mengi sana na mengi ya hayo ni ya kushangaza mno.

Binafsi kuna kitu nilikiona na nikajaribu kukifungulia uzi. Lakini mamodi wa JF kwa kuwaendekekeza akina Imeloa na Yoda na MK254 na Kinyungu na wenzao wakaufuta uzi huo.

Nilichoshudia ni kwamba wanawake na watoto ni miongoni mwa idadi kubwa ya waliokufa,lakini kwa upande wa wanawake kila aliyeumia vibaya mno na damu zinamchirizika mwlli wote au wale waliokufa na bado wakivutwa chini ya vifusi bado wanakuwa wamevaa vizuri. Hakuna viungo vyao nyeti vinavyoonekana.

Siri ya hali hiyo kwa wanawake wa Gaza ni ubunifu walioufanya kutokana na kushuhudia vita baina yao na Israel kwa miaka mingi.Vita vyao vimekuwa ni endelevu kwa miaka 75 iliyopita.

Ubunifu huo ni vazi linaloitwa Isdal ambalo ni rahisi kulivaa na kulivua na huwa linauhifadhi mwili wote kuanzia kichwa mpaka unyayoni. Wanawake hao wanasema katika hali ya kawaida vazi hilo huwapa urahisi kutoka nje ya majumba yao kuomba kitu kwa jirani au kuwatafuta watoto wao wakicheza mitaani na wenzao.Vazi hilo pia huwapa wepesi kwenda dukani kununua kitu wanachohitaji hata chungu kikiwa jikoni.

Kubwa zaidi vazi hilo huwa linakuwa karibu yao hata wakati wa kulala na mara wanaposikia sauti za miripuko kutokana na vita hulivaa mara moja.Kwa wakati wa vita kama hivi vita vya Gaza Isdal huwa inavaliwa muda wote.Ni vazi ambalo limezoeleka kwa wakubwa, na hata wasichana.

Sababu ya kubuni na kulivaa vazi hilo wanawake wa Gaza wanasema ni kwa sababu wanataka wakifa kwa kufikiwa na vifusi basi wakiokolewa wawe wamehifadhika miili yao.

=========

Gaza women and the isdal robes that shield them as war strips their privacy​

Ruwaida Amer

Al-Fukhari, Gaza Strip – It’s a garment that the world may have grown accustomed to seeing Palestinian women in Gaza wearing as they flee for their lives, hold their murdered children or loved ones close for one final goodbye, or run frantically through hospital corridors hoping to find their loved ones injured, not dead.

Muslim women will recognise it as a prayer cover-up, known as an “isdal” or “toub salah”, and it is what women and girls have pulled around them at the most difficult moments that the current Israeli war on Gaza has wrought.

An isdal can be one piece that covers the whole body except for the face or two pieces with a skirt and a veil that covers the wearer past the hips. Every practising Muslim woman’s home has at least one, an essential item at all times.

In addition to prayer time, a veiled woman may pull this on to answer the door when male guests arrive with no advance notice – or even if they’re just running around the corner to buy something or stepping out to chat with a neighbour.

A wartime companion​

The isdal is a comfortable item to throw on top of whatever a woman is wearing if she has to leave the house in a hurry and remain modest.

A Palestinian woman kisses the sheet-covered body of a child killed during an Israeli airstrike

Palestinian women in Gaza need to throw on an isdal to be able to hold their murdered children close for one final goodbye. Here a Palestinian woman kisses the shrouded body of a child killed by an Israeli air raid on October 15, 2023, outside Al-Aqsa Martyrs Hospital in Deir el-Balah, the Gaza Strip [Adel Hana/AP Photo]
But during the war, Palestinian women are wearing it around the clock, at home or out, asleep or awake, because they have no idea when a bomb will strike their house and they will have to run, or worse.

“If we die when our house is bombed, we want to have our dignity and modesty. If we’re bombed and have to be rescued from the rubble, we don’t want to be rescued wearing nothing,” Sarah Assaad, 44, says.

Sarah lived in Zeitoun in eastern Gaza City and has been displaced to the school in al-Fukhari with her three daughters and two sons, all of whom are teenagers.

She adds that the isdal is worn around the clock by the terrified women and girls in the school, which is crammed with displaced people.

“I have three of them, my daughters each have at least one. We’ve gotten used to this in the past 17 years of different Israeli assaults. When the first missile falls on Gaza, we put our isdals on.”

Fifty-six-year-old Raeda Hassan, from east of Khan Younis, says she has kept her isdal close throughout the many wars Gaza suffered, to the point where, she adds, she does not like the sight of it sometimes because it reminds her of violence.

A woman sits with children outside, as displaced Palestinians, who fled their houses due to Israeli strike, shelter in a camp in Rafah

A woman wearing an isdal to cover herself while fleeing sits with children on the dirt ground of a camp in Rafah as Israel’s war on Gaza continues, on December 6, 2023 [Ibraheem Abu Mustafa/Reuters/TPX images of the day]
“The first thing I’m going to do after the war is to get rid of this and buy a different one so I’m not reminded of the suffering of war,” Raeda says, gesturing down at her isdal.

She is also at the school with her daughters and daughters-in-law, who are all wearing their isdals as well.
In fact, Sarah says, the isdal is so ubiquitous that girls who are too young to pray or take the veil have been demanding that their mothers buy them isdals anyway.

Sahar Akar’s daughters are only four and five years old, but wanted isdals so they could be like their cousins and the older girls they saw around them. Sahar, 28, fled to the south of the Gaza Strip with her family from Gaza City.

‘You never know what might happen’​

Raeda muses for a moment then exclaims: “I don’t know where everyone gets this idea that we’re somehow prepared to be bombed.

“First of all, what does that mean? To be prepared to have your home, history, memories destroyed? Who on earth can say that’s something you should be prepared for?

“Anyway, we don’t know where the bombs are going to fall, or which home will be obliterated. We keep this isdal on so we can run out and look for our kids if they wander too far. We wear it when we run to our neighbours’ places to see if they’re OK after a bombing.

A Palestinian woman does laundry outside a refugee tent along the Gaza Strip

In spaces where women spend all day in crowded spaces, the all-encompassing isdal allows them a measure of privacy and soothing. Here a woman does laundry outside a refugee tent in Khan Younis, the Gaza Strip on October 20, 2023 [Photo by Ahmad Hasaballah/Getty Images]
“If I see my daughters or any of the family’s women without their isdal, I tell them to put it on, you never know what might happen.”

Raeda’s 16-year-old daughter Salma sits nearby, nodding vigorously and dressed in her isdal. She remembers the day in early September when she and her mother went out to the Shujayea market and she spotted a “cute” isdal she just had to have, and Raeda bought it for her.

“I love it very much and like wearing it because it reminds me of that day when we wandered in the market and had so much fun,” she adds.

“When we fled, I was wearing trousers and a shirt but I took my isdal with me so I could pray. Once we got here and I saw how crowded it was and how every single woman was wearing an isdal, I figured I should keep mine on all the time.

“It’s sad because prayer covers have happy associations also, a crisp, new, colourful veil for Eid prayers, even an isdal pulled on in a hurry to wait for your kids to jump off the school bus and tell you about their day. That’s all been ruined,” Salma continues.

For many other women who spoke to Al Jazeera, the isdal carries mixed feelings as a symbol of panic in the street as well as the quiet moments of prayer and reflection.

In wartime, the simple act of covering their heads has become loaded with a deep weight of sadness.

Palestinian women inspect the site of an Israeli strike on a house

Palestinian women inspect the site of an Israeli raid as Israel’s war on Gaza continues, in Rafah, Gaza on December 29, 2023 [Ibraheem Abu Mustafa/Reuters]
 
Katika vita vya Gaza vinavyoelekea ukingoni baada ya hasara kubwa,tumeshuhudia mambo mengi sana na mengi ya hayo ni ya kushangaza mno.
Binafsi kuna kitu nilikiona na nikajaribu kukifungulia uzi.Lakini mamodi wa JF kwa kuwaendekekeza akina Imeloa na Yoda na MK254 na Kinyungu na wenzao wakaufuta uzi huo.
Nilichoshudia ni kwamba wanawake na watoto ni miongoni mwa idadi kubwa ya waliokufa,lakini kwa upande wa wanawake kila aliyeumia vibaya mno na damu zinamchirizika mwlli wote au wale waliokufa na bado wakivutwa chini ya vifusi bado wanakuwa wamevaa vizuri.Hakuna viungo vyao nyeti vinavyoonekana.
Siri ya hali hiyo kwa wanawake wa Gaza ni ubunifu walioufanya kutokana na kushuhudia vita baina yao na Israel kwa miaka mingi.Vita vyao vimekuwa ni endelevu kwa miaka 75 iliyopita.
Ubunifu huo ni vazi linaloitwa Isdal ambalo ni rahisi kulivaa na kulivua na huwa linauhifadhi mwili wote kuanzia kichwa mpaka unyayoni.Wanawake hao wanasema katika hali ya kawaida vazi hilo huwapa urahisi kutoka nje ya majumba yao kuomba kitu kwa jirani au kuwatafuta watoto wao wakicheza mitaani na wenzao.Vazi hilo pia huwapa wepesi kwenda dukani kununua kitu wanachohitaji hata chungu kikiwa jikoni.
Kubwa zaidi vazi hilo huwa linakuwa karibu yao hata wakati wa kulala na mara wanaposikia sauti za miripuko kutokana na vita hulivaa mara moja.Kwa wakati wa vita kama hivi vita vya Gaza Isdal huwa inavaliwa muda wote.Ni vazi ambalo limezoeleka kwa wakubwa,wasichana .
Sababu ya kubuni na kulivaa vazi hilo wanawake wa Gaza wanasema ni kwa sababu wanataka wakifa kwa kufikiwa na vifusi basi wakiokolewa wawe wamehifadhika miili yao.

Gaza women and the isdal robes that shield them as war strips their privacy

Allah ataendelea kuwastiri, wamezaa madume vya kusifika siyo vishoga vya kizayuni.
 
Na magaidi wanajificha kwenye vazi hilo. Tunaiamuru IDF kuwatwanga woote watakaovaa hilo vazi
 
Na magaidi wanajificha kwenye vazi hilo. Tunaiamuru IDF kuwatwanga woote watakaovaa hilo vazi
Sio kweli.
Wanawake wa Gaza wote wanavaa hili vazi lakini ni wachache tu wanaovaa niqab
Tukiona wanaovuja damu au kupiga mayowe mbele ya maiti za watoto wao ni wanawake tu na nyuso zao zinajulisha.
 
1,600 Israeli Soldiers Suffer from Combat Stress as Mental Health System Faces Collapse

January 2, 2024

By Palestine Chronicle Staff Israeli media reported that 1,600 soldiers show symptoms of combat stress reaction as the country’s mental health system faces collapse.

At least 1,600 Israeli soldiers show symptoms of combat stress reaction and 250 were discharged from service for this reason, according to Israeli media.

The Israeli news website Walla reported on Tuesday that “symptoms of battle combat stress reaction have appeared on at least 1,600 Israeli soldiers since the start of the ground operation in the Gaza Strip about two months ago”.
 
Israeli Officials Fear ICJ Could Charge Israel with Genocide in Gaza – Reports

January 1, 2024

By Palestine Chronicle Staff

Israeli officials are concerned that the Hague-based International Court of Justice (ICJ) will charge Israel with genocide in Gaza, Israeli media reported.

According to the Israeli newspaper Haaretz, “a senior legal expert dealing with the matter has in recent days warned IDF brass, including Chief of Staff Herzl Halevi, that there is real danger that the court will issue an injunction calling on Israel to halt its fire, noting that Israel is bound by the court’s rulings”.
 
Masha allah
Allah atawapa faraja licha ya magumu wanayopitia

Uislam unataka wanawake wastirike namna hii sasa

Sio kuwaacha uchi kwakisingizio cha eti uhuru
 
Masha allah
Allah atawapa faraja licha ya magumu wanayopitia

Uislam unataka wanawake wastirike namna hii sasa

Sio kuwaacha uchi kwakisingizio cha eti uhuru
Kusitirika vipi mnawatesa tu? Shida ya Wanaume Kobaz ni kuwafanya wanawake kama bidhaa ya dukani!!

Wallah nakwambia siku mkiwauliza wanataka nini ndo siku hiyo watayachoma moto hayo mavazi!! Mnawapa MATESO makubwa sana wakiwa Bado hapa duniani
 
Sisi nanyie nani anae wafanya wanawake kama bidhaa za dukani

Unakuta mwanamke kavaa kimini ama nguo za hovyo

Uislam ndii unampa mwanamke heshma anayostahili
 
Back
Top Bottom