Wanawake wa JF. . .who is hot, who is not.

Ngoja nikapime joto la mtu fulani hivi, halafu ntarudi kutaja kama ni hoot au Mcold. By the way bombu ni mcold jamani, moto unahitajika hapa
 
Lizzy.......kiepe nitanunua mwenyewe, mi nataka tukutane na mama mchungaji kuleeee nilikomuonea besti maridadi! Lol

Kipipi . . . .Kakondoo kama unamaanisha kule utanisamehe aisee. . .bado sijapata muda wata wakufuta vumbi. Alafu besti maridadi anaumwa masikini. . .embu mpe pole.
 
Last edited by a moderator:
Kipipi . . . .Kakondoo kama unamaanisha kule utanisamehe aisee. . .bado sijapata muda wata wakufuta vumbi. Alafu besti maridadi anaumwa masikini. . .embu mpe pole.

Haya bana, mi naskilizia tu!! Dah.......pole yake jamani, nitumie namba yake nimsalimie! (hata kama ni TTCL usijali, mi nna Zantel huwa natwanga kotekote) Lizzy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom