Change Makers2023: Wanawake wang'ara. Dkt Samia Suluhu, Dkt Mwinyi na Ruth Zaipuna wa NMB vinara. Melo wa JF, Mbowe na Zitto wajitokeza

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,984
4,083
IMG-20240126-WA0083.jpg

===
Taasisi maarufu ya utafiti ya Serengeti Bytes imetoa orodha ya Watanzania 100 ambao mwaka wa jana ( 2023 ) kwa namna moja au nyingine walifanikisha au kusaidia kuleta mabadiliko chanya katika Jamii pana ya Watanzania,

Ukipitia orodha hii ya majina na katika nafasi tatu za juu mbili kati yake zimeshikwa na Wanawake wa Shoka ambao ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan aliyeshika nafasi ya kwanza hapa ni dhahiri kabisa kazi za Mama Kila mmoja atakubaliana na Mimi kuwa zimeleta mabadiliko makubwa kwa Watanzania walio wengi.

Nafasi ya pili imekwenda kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt Ally Hussein Mwinyi ni kweli mbichi kazi za Rais Mwinyi sote túnazifahamu bila kuuma maneno Rais Mwinyi ameleta mabadiliko makubwa Visiwani Zanzibar naamini sote tu mashahidi wetu wenyewe.

Mwanamke mwingine ambae si maarufu sana ila anafanya makubwa kwenye hili Taifa ni Ms Ruth Henry Zaipuna Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB aliyeshika nafasi ya tatu, Ukweli ni kwamba kazi za huyu Mama kwenye hili Taifa nadhani wengi wetu tunazifahamu kwani amesaidia Watanzania wengi sana kiuchumi kupitia Benki yake ya NMB PLC.

Tukubaliane wote katika nafasi hizi mbili ya kwanza na yapili zote zimeshikwa na Marais yaani yule wa Visiwani na huyu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kuna jambo mahususi la kujifunza toka kwa huyu wa nafasi ya tatu mwanamama toka NMB PLC Ms Ruth Henry Zaipuna kwani kasi ya ukuaji wa Benki anayoiongoza ya NMB ni yakutisha hasa kwa kuzingatia ni benki inayohudumia Makabwera ambao ni wengi hakika amestahili na ameitendea haki nafasi hiyo.

Nawapongeza Serengeti Bytes kwa utafiti wao anuai hasa kwa kutambua juhudi kubwa na nzuri zinazofanywa na wote waliotajwa japo si hao tu hata Mimi na Paschal Mayalla tungestahili kuwepo hapo ila naamini edition ijayo tutakuwepo.

====

Endelea kusoma >>> We are thrilled to announce the launch of inaugural 100 Tanzanian Changemakers List of 2023, a Serengeti Bytes curated collection of extraordinary people who are making a significant difference in Tanzania. In a time when positive change is needed more than ever, these individuals serve as beacons of hope and inspiration. They embody the spirit of innovation, compassion, and determination, driving transformative initiatives across various domains. Join us as we celebrate their remarkable achievements and share their incredible stories.

Section 1: The Power of Change:

Change is the driving force behind progress and growth. It is through the tireless efforts of changemakers that we witness transformative shifts in society, the environment, and countless lives. The ChangeMakers List aims to honour those who have dedicated themselves to creating positive change, reminding us of the immense power individuals possess to shape the world around them.

Section 2: Inspiring Stories:

Within the pages of the ChangeMakers List, you will find a diverse array of individuals who have chosen to challenge the status quo and create a lasting impact. From social entrepreneurs revolutionizing education in underserved communities to environmental activists advocating for sustainable practices, each story is a testament to the power of passion and perseverance.

Section 3: Highlighting Innovation:

Innovation lies at the heart of every changemaker's journey. Their ability to think differently, challenge existing norms, and find creative solutions to complex problems is what sets them apart. The ChangeMakers List showcases the cutting-edge ideas and groundbreaking projects that these individuals have spearheaded, inspiring others to pursue innovation in their own lives.

Section 4: Fostering Collaboration:

Collaboration is key to driving meaningful change on a global scale. The Change Makers List encourages cross-disciplinary partnerships and showcases the incredible outcomes that can be achieved when diverse perspectives and expertise converge. By highlighting successful collaborations, we hope to inspire others to unite, share knowledge, and work together towards a better future.

The ChangeMakers List is a celebration of the relentless pursuit of a better Tanzania. It is a testament to the indomitable spirit of individuals who refuse to accept the status quo and instead choose to effect change, no matter how big or small. Through their extraordinary actions, they inspire us all to step up, make a difference, and be the change we wish to see in the world.

As we launch the 100 Tanzanian Changemakers List, we invite you to join us in celebrating these remarkable individuals and sharing their stories far and wide. Together, let us amplify their voices, celebrate their achievements, and ignite a movement of change that leaves a lasting legacy for generations to come.

You can view, download, and share the list by clicking HERE.
 
View attachment 2883482
===
Taasisi maarufu ya utafiti ya Serengeti Bytes imetoa orodha ya Watanzania 100 ambao mwaka wa jana ( 2023 ) kwa namna moja au nyingine walifanikisha kuleta mabadiliko chanya katika Jamii pana ya Watanzania,

Ukiipitia orodha hiyo na katika nafasi tatu za juu mbili zilishikwa na Wanawake ambao ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan aliyeshika nafasi ya kwanza ni dhahiri Kanisa kazi za Mama Kila mmoja atakubaliana na Mimi kuwa zimeleta mabadiliko makubwa kwa Watanzania.

Nafasi ya pili ilikwenda kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa baraza la Mapinduzi Mhe Dkt Ally Hussein Mwinyi na kazi za Mzee Mwinyi sote túnazifahamu

Mwanamke mwingine ni Bi Ruth Henry Zaipuna Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB aliyeshika nafasi ya tatu kazi za huyu Mama kwenye hili Taifa nadhani wengi wetu tunazifahamu,

Tukubaliane wote katika nafasi hizi mbili ya kwanza na yapili zote zimeshikwa na Marais wa nchi yaani yule wa Visiwani na huyu wa Muungano,

Mjadala wangu utaanzia kwenye nafasi ya tatu kwa huyu mwanamama wa NMB PLC Bi Ruth Henry Zaipuna kwani kasi ya ukuaji wa Benki anayoiongoza ya NMB ni yakutisha hasa kwa kuzingatia inahudumia Makabwera hakika amestahili,

Nawapongeza Serengeti Bytes kwa utafiti wao anuai hasa kwa kutambua juhudi kubwa na nzuri zinazofanywa na wote waliotajwa japo si hao tu hata Mimi ningestahili kuwepo hapo ila naamini edition ijayo nitakuwepo,

====

Endelea kusoma >>> We are thrilled to announce the launch of inaugural 100 Tanzanian Changemakers List of 2023, a Serengeti Bytes curated collection of extraordinary people who are making a significant difference in Tanzania. In a time when positive change is needed more than ever, these individuals serve as beacons of hope and inspiration. They embody the spirit of innovation, compassion, and determination, driving transformative initiatives across various domains. Join us as we celebrate their remarkable achievements and share their incredible stories.

Section 1: The Power of Change:

Change is the driving force behind progress and growth. It is through the tireless efforts of changemakers that we witness transformative shifts in society, the environment, and countless lives. The ChangeMakers List aims to honour those who have dedicated themselves to creating positive change, reminding us of the immense power individuals possess to shape the world around them.

Section 2: Inspiring Stories:

Within the pages of the ChangeMakers List, you will find a diverse array of individuals who have chosen to challenge the status quo and create a lasting impact. From social entrepreneurs revolutionizing education in underserved communities to environmental activists advocating for sustainable practices, each story is a testament to the power of passion and perseverance.

Section 3: Highlighting Innovation:

Innovation lies at the heart of every changemaker's journey. Their ability to think differently, challenge existing norms, and find creative solutions to complex problems is what sets them apart. The ChangeMakers List showcases the cutting-edge ideas and groundbreaking projects that these individuals have spearheaded, inspiring others to pursue innovation in their own lives.

Section 4: Fostering Collaboration:

Collaboration is key to driving meaningful change on a global scale. The Change Makers List encourages cross-disciplinary partnerships and showcases the incredible outcomes that can be achieved when diverse perspectives and expertise converge. By highlighting successful collaborations, we hope to inspire others to unite, share knowledge, and work together towards a better future.

The ChangeMakers List is a celebration of the relentless pursuit of a better Tanzania. It is a testament to the indomitable spirit of individuals who refuse to accept the status quo and instead choose to effect change, no matter how big or small. Through their extraordinary actions, they inspire us all to step up, make a difference, and be the change we wish to see in the world.

As we launch the 100 Tanzanian Changemakers List, we invite you to join us in celebrating these remarkable individuals and sharing their stories far and wide. Together, let us amplify their voices, celebrate their achievements, and ignite a movement of change that leaves a lasting legacy for generations to come.

You can view, download, and share the list by clicking HERE.
Nawaona kwa Mbali MO, ROSTAM NA ABOÓD
 
Back
Top Bottom