Wanawake acheni tabia za kuwageuza Wanaume ATM!

Hii na thread ya atm ni mapacha. Acheni kujigongesha. Mtapigwa mizinga hadi mjute kuumbwa wanaume.
 
Hii na thread ya atm ni mapacha. Acheni kujigongesha. Mtapigwa mizinga hadi mjute kuumbwa wanaume.
Hajuti mtu hapa,......
Mimi niko mjini tangu kibao cha karibu Dar es salaam kipo Kimara.
Labda kwa wale wenye tongotongo, wamjini tunakwenda kimjinimjini.
 
kam nyie wenyewe mwataka kuwa ATM me nfanyeje? nachota natumia mpaka....!
 
Matola....baada ya kusoma mchango wako kule kwen kinywaji cha Savannah na wadada,,am not surprised kwa hii sredi,,,LOL
 
au wengne wanategea ule mda wa lunch afu ndo anakupgia,eti uko wapi nije 2le wote?akija mkpga nae menu 2 atakutegea we kidume ulipe.
mbona me haijawai nitokea hiyo mambo yaan nilipie tu msosi kwa vile huwa unavaa chup yenye maua,kwamba nakuonea aibu or what
 
Nashindwa kuelewa kwa nin kila mdada ninayemfahamu kutoka mkoa wa dar es salaam lazima awe ameishaga nipiga kizinga,na co mimi 2 kuna jamaa zangu ka 7 hvi nao wana case ka yangu..tatizo huwa ni maisha magumu dar au wao ndo hawajishughulish na kuweka usister duu mbele?

Afu jirani na wewe hebu fafanua hapo kwenye bold unamaanisha wadada wa kizaramo au? Mana Dar ni mnyanganyiko kwa sasa so unaposema wanaotokea mkoa wa Dar es Salaam wengine ni wasukuma walikuja Dar kutafuta life na kadhalika, so kuwa specific afu pia hiyo mizinga waliokupiga ni wanafunzi, wafanyakazi au wasio na shughuli maalum? Afu pia na wewe uko mkoa gani na je umeoa na age yao waliokupiga mizinga ni ipi? Mana age nayo ina-determine ujambazi wa kimapenzi.

Ukijibu hapo naweza kuendelea kuchangia
 
sasa kama unakuja na ma-advertise unajidai dodi alfayed wao wafanyeje? ukionekana msukuma,watakushughulikia ukose nauli ya kurudi kwenu.na treni siku hizi ndo hakuna,utapanda ng'ombe wallah!
 
Nashindwa kuelewa kwa nin kila mdada ninayemfahamu kutoka mkoa wa dar es salaam lazima awe ameishaga nipiga kizinga,na co mimi 2 kuna jamaa zangu ka 7 hvi nao wana case ka yangu..tatizo huwa ni maisha magumu dar au wao ndo hawajishughulish na kuweka usister duu mbele?

Be man enough and say No! Wenyewe mwajigonga na kupretend kuwa u have all the $$$ in the world! Say no mara 2 au 3 uone kama utafuatwa!

Mnakufa na tai shingoni, l tell u na Leo utapigwa na kesho pia and there is nothing u can do about!
 
Back
Top Bottom