Wanawake wenye mali acheni kuwageuza wanaume zenu sex-toy

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari ndugu zangu.

Kwa masikitiko makubwa wanaume wengi wamekua wakipitia magumu kutoka kwa wanawake wanaojiweza kiuchumi sana kuwazidi wao.

Wanaume wengi wamekua wakinyanyaswa na wanawake kingono, kiuchumi, kifikra na hata kimaamuzi kutokana na kuzidiwa kiuchumi na mpenzi wake au mke wake

Ukweli ni kwamba wanaume wamegeuzwa kama chombo cha starehe na hawa wanawake mafeminist pamoja na wale wanawake wanaojiweza kiuchumi, wengine wamegeuzwa kama shamba la kuvunia mbegu zao za kiume ili mwanamke ajipatie ujauzito na azae basi.

Wanawake wanaojiweza kiuchumi, wengi wao wamekua mafeminist kitu ambacho kinaona hakuna umuhimu wa mwanaume na mwanaumr akijilengesha hakuna rangi ataacha kuona kutoka kwa huyo mwanamke.

Inasikitisha kuona kijana/ mwanaume anatembea kwa miguu na wakati mwingine kugombania usafiri wa daladala pindi wanapopanga kutoka out na mkewe mwenye gari, mwanaume ananyimwa hata haki ya kukaa kushoto kwenye gari la mkewe, mwanaume analazimishwa kuzama chumvini na sehemu zingine zisizoeleweka kutokana na kuwa na uchumi duni,

Mwanaume wengine hatakutoa maamuzi kama mwanaume anashindwa na kufifishwa sifa zake za kiume kutokana na kuzidiwa kiuchumi na mwanamke, wanaume wanahangaika na majeraha mioyoni mwao na pakusemea hawana.

Wengine unakuta wanagombezwa mbele za jamii wanapo ongozana na wake zao au wapenzi wao kimtoko, unakuta mwanaume anagombezwa tuu na mwanamke bila hatamwanamke kujali lolote kisa ni kuwa uwezo mkubwa wa kiuchumi upo mikononi mwamwanamke.

Mbaya kabisa, mwanamke na mali zake anadiriki kumgeuza mwanaume wake kama chombo cha kumtumia kumaliza ashiki zake pindi anapo muhitaji na siyo pale mwanamume akimuhitaji, mwanamke yeye ndiye anayekutaka weww umnyandue nasiyo wewe ukitaka,

Unakuta anakupangia namna ya kumnyandua kwa style yeye atakazotaka mwanamke na ukikataa game anaahirisha na makelele juu,.

Inafika mahali anataka umpige deki kisa tuu huna uwezo kumzidi , kwa kweli wanawake wenye mali na mnaojiweza acheni kutugeuza sex toy.

inafikia mahali mpaka mwanaume unazoofika yote hayo nikutokana na kugeuzwa sex toy na mwanamke hajali hilo, wapo wanawake wengine wanadiriki hatakukumezesha dawa za kukuboost kwa lengo la uwafurahishe tuu. Ina umasana

Siyo wanawake wote mpo hivyo ila baadhi yenu wenye hizi tabia wapo na kila kukicha wanazidi kuongezeka sijui tatizo ni nini.

WANAWAKE MKAE MKIJUA MMETOKA KWA MWANAMUME HAIJALISHI MWANAUME UMEMZIDI KIUCHUMI AU AKILI, ACHENI KUTUGEUZA SEX-TOY NA KUTUNYANYASA.
 
FB_IMG_16922231536474899.jpg
 
Na wanaume wa siku hizi wanapenda sana kulelewa ndio maana yanawakuta hayo..unakuta mwanaume akishajua unalife nzuri anaanza vibomu na kutaka umlee so matokeo yake ni manyanyaso,maana kama nakulisha, pesa yangu unatumia,gari yangu unaendesha,hivi nguvu ya kunifanyia fyongo unaitoa wapi? Lazima tuwanyooshe
 
Habari ndugu zangu.

Kwa masikitiko makubwa wanaume wengi wamekua wakipitia magumu kutoka kwa wanawake wanaojiweza kiuchumi sana kuwazidi wao.

Wanaume wengi wamekua wakinyanyaswa na wanawake kingono, kiuchumi, kifikra na hata kimaamuzi kutokana na kuzidiwa kiuchumi na mpenzi wake au mke wake

Ukweli ni kwamba wanaume wamegeuzwa kama chombo cha starehe na hawa wanawake mafeminist pamoja na wale wanawake wanaojiweza kiuchumi, wengine wamegeuzwa kama shamba la kuvunia mbegu zao za kiume ili mwanamke ajipatie ujauzito na azae basi.

Wanawake wanaojiweza kiuchumi, wengi wao wamekua mafeminist kitu ambacho kinaona hakuna umuhimu wa mwanaume na mwanaumr akijilengesha hakuna rangi ataacha kuona kutoka kwa huyo mwanamke.

Inasikitisha kuona kijana/ mwanaume anatembea kwa miguu na wakati mwingine kugombania usafiri wa daladala pindi wanapopanga kutoka out na mkewe mwenye gari, mwanaume ananyimwa hata haki ya kukaa kushoto kwenye gari la mkewe, mwanaume analazimishwa kuzama chumvini na sehemu zingine zisizoeleweka kutokana na kuwa na uchumi duni,

Mwanaume wengine hatakutoa maamuzi kama mwanaume anashindwa na kufifishwa sifa zake za kiume kutokana na kuzidiwa kiuchumi na mwanamke, wanaume wanahangaika na majeraha mioyoni mwao na pakusemea hawana.

Wengine unakuta wanagombezwa mbele za jamii wanapo ongozana na wake zao au wapenzi wao kimtoko, unakuta mwanaume anagombezwa tuu na mwanamke bila hatamwanamke kujali lolote kisa ni kuwa uwezo mkubwa wa kiuchumi upo mikononi mwamwanamke.

Mbaya kabisa, mwanamke na mali zake anadiriki kumgeuza mwanaume wake kama chombo cha kumtumia kumaliza ashiki zake pindi anapo muhitaji na siyo pale mwanamume akimuhitaji, mwanamke yeye ndiye anayekutaka weww umnyandue nasiyo wewe ukitaka,

Unakuta anakupangia namna ya kumnyandua kwa style yeye atakazotaka mwanamke na ukikataa game anaahirisha na makelele juu,.

Inafika mahali anataka umpige deki kisa tuu huna uwezo kumzidi , kwa kweli wanawake wenye mali na mnaojiweza acheni kutugeuza sex toy.

inafikia mahali mpaka mwanaume unazoofika yote hayo nikutokana na kugeuzwa sex toy na mwanamke hajali hilo, wapo wanawake wengine wanadiriki hatakukumezesha dawa za kukuboost kwa lengo la uwafurahishe tuu. Ina umasana

Siyo wanawake wote mpo hivyo ila baadhi yenu wenye hizi tabia wapo na kila kukicha wanazidi kuongezeka sijui tatizo ni nini.

WANAWAKE MKAE MKIJUA MMETOKA KWA MWANAMUME HAIJALISHI MWANAUME UMEMZIDI KIUCHUMI AU AKILI, ACHENI KUTUGEUZA SEX-TOY NA KUTUNYANYASA.
Tafuta nawewe pesa zako, wacha kuwa marioo.
 
Pole mkuu naona umeandika kwa hisia sana inaonekana wewe ndio muhusika.

Kwakuwa umechaguwa umarioo basi huna jinsi solution pekee ni kumtuliza kwa wataalam.

Unaona wale masheikh na maustaadh pesa hawana lakini anaishi na wake Wawili wa ndoa nyumba moja tena totoz za ukweli na wala hagongewi na wake zake wote kimya.

Unajuwa huwa wanawafanyaje? akili kichwani mwako.
 
Habari ndugu zangu.

Kwa masikitiko makubwa wanaume wengi wamekua wakipitia magumu kutoka kwa wanawake wanaojiweza kiuchumi sana kuwazidi wao.

Wanaume wengi wamekua wakinyanyaswa na wanawake kingono, kiuchumi, kifikra na hata kimaamuzi kutokana na kuzidiwa kiuchumi na mpenzi wake au mke wake

Ukweli ni kwamba wanaume wamegeuzwa kama chombo cha starehe na hawa wanawake mafeminist pamoja na wale wanawake wanaojiweza kiuchumi, wengine wamegeuzwa kama shamba la kuvunia mbegu zao za kiume ili mwanamke ajipatie ujauzito na azae basi.

Wanawake wanaojiweza kiuchumi, wengi wao wamekua mafeminist kitu ambacho kinaona hakuna umuhimu wa mwanaume na mwanaumr akijilengesha hakuna rangi ataacha kuona kutoka kwa huyo mwanamke.

Inasikitisha kuona kijana/ mwanaume anatembea kwa miguu na wakati mwingine kugombania usafiri wa daladala pindi wanapopanga kutoka out na mkewe mwenye gari, mwanaume ananyimwa hata haki ya kukaa kushoto kwenye gari la mkewe, mwanaume analazimishwa kuzama chumvini na sehemu zingine zisizoeleweka kutokana na kuwa na uchumi duni,

Mwanaume wengine hatakutoa maamuzi kama mwanaume anashindwa na kufifishwa sifa zake za kiume kutokana na kuzidiwa kiuchumi na mwanamke, wanaume wanahangaika na majeraha mioyoni mwao na pakusemea hawana.

Wengine unakuta wanagombezwa mbele za jamii wanapo ongozana na wake zao au wapenzi wao kimtoko, unakuta mwanaume anagombezwa tuu na mwanamke bila hatamwanamke kujali lolote kisa ni kuwa uwezo mkubwa wa kiuchumi upo mikononi mwamwanamke.

Mbaya kabisa, mwanamke na mali zake anadiriki kumgeuza mwanaume wake kama chombo cha kumtumia kumaliza ashiki zake pindi anapo muhitaji na siyo pale mwanamume akimuhitaji, mwanamke yeye ndiye anayekutaka weww umnyandue nasiyo wewe ukitaka,

Unakuta anakupangia namna ya kumnyandua kwa style yeye atakazotaka mwanamke na ukikataa game anaahirisha na makelele juu,.

Inafika mahali anataka umpige deki kisa tuu huna uwezo kumzidi , kwa kweli wanawake wenye mali na mnaojiweza acheni kutugeuza sex toy.

inafikia mahali mpaka mwanaume unazoofika yote hayo nikutokana na kugeuzwa sex toy na mwanamke hajali hilo, wapo wanawake wengine wanadiriki hatakukumezesha dawa za kukuboost kwa lengo la uwafurahishe tuu. Ina umasana

Siyo wanawake wote mpo hivyo ila baadhi yenu wenye hizi tabia wapo na kila kukicha wanazidi kuongezeka sijui tatizo ni nini.

WANAWAKE MKAE MKIJUA MMETOKA KWA MWANAMUME HAIJALISHI MWANAUME UMEMZIDI KIUCHUMI AU AKILI, ACHENI KUTUGEUZA SEX-TOY NA KUTUNYANYASA.
Hao wanawake wenye Hela wako wapi jmn mbn kila mi nao wapata mi ndio wananiona tajiri kuna namna ya kuwapa wapi hao
 
Pole sana mkuu naona unatumia nafsi ya pili ili hali inaonekana dhahiri kwamba wewe ndiyo unakumbwa na masahibu haya.Aidha uvumilie uendelee kutunzwa au ujinasue kwa kuondoka ukapambanie maisha yako ya kujitafutia kipato chako.
 
Back
Top Bottom