Wanawake acheni tabia za kuwageuza Wanaume ATM!

Mmechoka? iambieni na hiyo mining'inio yenu ikome kutamani tamani hovyo, ukiona kipotapo watamani, ukikutana na mdada akitembea mashalah ndembendembe unatamani. Unakuta mtu ana mkewe na unamjua au ana mpenzi na unajua kabisa lakini anatoka huko ooo bidada nimekupenda. Umenipenda au umenitamani? huko kwa mkeo/mpenzio umekosa nini hadi uje kwangu? na kwa sababu najua ni tamaa tu zilizokuleta ukishapatwa umwazi waenda zako kwa nini na mimi nisikuchuneeeeeeeeeeeeeee? nishee bill na wewe ili iweje wakati ni tamaa zako zilizokuleta? we umenitamani mimi na mimi nafaidikaje kama sio kukupiga mzinga?

Eti mmechoka na kutongoza hovyo mchoke pumbaf

Nimekutamani wewee....Sarafina1..Naomba ya bure....
 
Nimekumbuka usemi wa wahenga wa Kiswahili "PESA NI SABUNI YA ROHO" na wakidhungu "MONEY TALKS" Yawezekana wanaume tunatilia maanani misemo hii katika kuwin confidence ya madem. Kwa sisi tusio na fweza za kutosha tunaishia kuimba "NINGEKUWA JOGOO JOGOO WE" hasa tunapopita maeneo kama Mwenge na Posta
 
Katika mahusiano ni vizuri saana mwanaume ukawa in Control kuliko mwanamke... Sina maana yeye ndo awe kila kitu, ila nina maana kua aweze kumdhibiti mwanamke wake physically na hata materially (thou sio lazima iwe level ya juu saaana au one sided)... Hivo... Mimi ninavoelewa ni kua mwanaume mwerevu hutongoza mwanamke wa level yake... na pia mwanamke wa aina ambayo anapenda...

Nikisema Level yake...

Nina maana kua kama unajua uwezo wako ni mdogo... usipende kupenda wanawake ambae anaonekana kabisa up keep yake ni expensive.... Alafu hapo hapo ni spender... Mwanamke ambae vijiwe vyake vyooote ni gharama.... Mwanamke ambae ana kundi lake la wadada ambao ukiwaona tu unajua kua ndio wana Run mahala hapa walipo, kwamba wao ndio centre of attention... (For hawa wadada katika hili kundi ni la wakaka wenye mpunga mrefu na wakitoa pesa zao, inakua haipunguzi kitu) Unapojitutumua wewe wa Uwezo wa chini lazima u-suffer the consequences...

Nikisema aina unayo penda....

Nina maana mienendo ya huyo mwanamke... mahala mwanamke hutoka... Jinsi anavoishi... Uwezo wake (kama ana kazi ama lah!) vyoote huchangia utegemezi... Pia huchangiwa na ile hali ya toka mahusiano yenu, jinsi gani umemzowesha... kama siku zoote you offer to pay for everything (ambayo kwa kweli ni wajibu wako in most cases) lazima atabweteka... Na mara nyingi hii ya mwanamke kulipa - inatokana tu na busara zake za kuelewa hata wewe once in a while you need a Break! asipoelewa hilo... Siku zoote utaishia kunung'nika tu rohoni kwako... Alafu siku zingine haya mambo ni vizuri kuongea na Mwenza wako... Kua Free... Kuna ubaya gani wa Kumwambi Mpenzi naomba lipa wewe for leo nimebanwa (ila tu usizoee...)

Wale ambao wata sema LOVE ndo mhimu hayo mengine sio muhimu... Well... Mwanzoni Yes... Lakini stress lazima zifuate badae....


I am ur secret admirer cute!! Maana hawa viumbe somo hata hawalielewi, sasa unakuja kwenye maisha yangu ambayo wether wazazi or myself nimeyafanya yako juu ww uajijua hali yako ya chini nikiwa kwenye mitoko yangu ya kawaida tu unaanza oooh ww ni sista du sana! Swali ulinikutaje? Kama nimeanza baada ya ww that is another case! una wale wakaka wabishi no matter standard ya maisha yako yy anakupenda ww na no kulalamika sijui ur too expensive, if huna hiyo hadhi na hela mgogoro go for ur class!
 
I am ur secret admirer cute!! Maana hawa viumbe somo hata hawalielewi, sasa unakuja kwenye maisha yangu ambayo wether wazazi or myself nimeyafanya yako juu ww uajijua hali yako ya chini nikiwa kwenye mitoko yangu ya kawaida tu unaanza oooh ww ni sista du sana! Swali ulinikutaje? Kama nimeanza baada ya ww that is another case! una wale wakaka wabishi no matter standard ya maisha yako yy anakupenda ww na no kulalamika sijui ur too expensive, if huna hiyo hadhi na hela mgogoro go for ur class![/QUOTE]

Well said
 
Back
Top Bottom