BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Unakuta una date na mwanamke yeye akija yuko na train (marafiki zake) sasa mimi nimekuita tuongee private wewe unabeba mashost wa nini?
hamna hela nyie, pale ndo pazuri unawapigisha wote kilaji harafu unachagua mzuri zaidi, eti nyie mnachukia
anakupima km una ela?
iyo nio test kwa magoldga bt si mademu wote
pole
km vp asi umwambie tu jaman...
Kila kitu mkiambiwa si mademu wote. watu wanaongea through experience hivyo lazima mchue maoni na kuyafanyia kazi. Sasa hao wenye hizo tabia wanaishi sayari gani mana nyie humu ndani kila kitu mkiambiwa majibu ni sio mademu wote.
Unakuta una date na mwanamke yeye akija yuko na train (marafiki zake) sasa mimi nimekuita tuongee private wewe unabeba mashost wa nini?
ndo unataka kusemaje?
nikisema nimekutana na mwanaume mleviiii pale ilala ..basi ndio mbiooo jf na kuwasema wanaume wooooooote as if wote walev?...na kuandka nyie wanaume achen ulev mpaka mnajisaidia ovyo...utakubali..?asi utasema si wote nenda kamwambie uyo anayehusika?
the same to us
umekutana na msukule wako uko basi mfate kamwambie na siyo kuja jf na kuchamba wadada wote...thou atuikatai izo tabia kuwepo tusichotaka ni generalization zenu.
gud aftanun sir.
generalization MWIKO...specification alowed.
Nakumbuka nilipokua Chuo demu wangu alikuwa na tabia ya kukusanya wenzake wanakuja hostel mtu nne mpaka tano ivi, nilichukua glass tano nikafungua soda moja na kuwakaribisha. hakurudia tena :eyeroll1: Aibu yangu aibuyake :car:
Safi sana shetani one kuleta hii mada mana wanatabia mbaya sana. Hajui una hela wala nini yeye anaunga tu na train lake
Kila kitu mkiambiwa si mademu wote. watu wanaongea through experience hivyo lazima mchue maoni na kuyafanyia kazi. Sasa hao wenye hizo tabia wanaishi sayari gani mana nyie humu ndani kila kitu mkiambiwa majibu ni sio mademu wote.
Haha haha braza hii safi sana, kesho angerudi tena ungemtandika na juice ya azam mls 50 na glass tano kama kawa
sambusa yako sasa utakuja chukua sangap?BLUE BALAA = SHETANI ONE?
Nauliza tu!!! Halafu nitachangia mada
Rose waua rose waua, mwenzio naumia sana...... Sio mtaalam wa kuimba lakini nadhani kama una kafahamu kawimbo haka ka zilipendwa katafikisha meseji yangu kwako, na sipendi kukuona unakosa tabasamu bibie,umeumbika usikwazike eeeh, achana na BB