Wanawake acheni hii tabia ina uzi sana wanaume

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
762
Unakuta una date na mwanamke yeye akija yuko na train (marafiki zake) sasa mimi nimekuita tuongee private wewe unabeba mashost wa nini?
 
hamna hela nyie, pale ndo pazuri unawapigisha wote kilaji harafu unachagua mzuri zaidi, eti nyie mnachukia
 
Lakini kwa wadada wenye akili haji na wakali kuliko yeye anakuja na wabovu bovu. Mimi anayekuja na wadogo zake wa kiume nilikuwa namchenjia lakini wakuja na wenzake wakali pale ndo anakuwa amenisaidia kuanya marketing na mwihowe namtosa yeye.
 
You have to be very principle... Akija kwa style hiyo unawalaza njaa maana hiyo bajeti haikuwepo...... Siku nyingine ukimwita atakuja mwenyewe..... Ukiweza kumfanyia hata mmoja hivyo wataambiana na mambo yatakaa sawa....
 
anakupima km una ela?
iyo nio test kwa magoldga bt si mademu wote
pole

km vp asi umwambie tu jaman...
 
hamna hela nyie, pale ndo pazuri unawapigisha wote kilaji harafu unachagua mzuri zaidi, eti nyie mnachukia

nani kakwambia hatuna hela ? hatuendekezi uswahili sisi . ukimwachia kesho atakuja na wajomba zake.
 
Safi sana shetani one kuleta hii mada mana wanatabia mbaya sana. Hajui una hela wala nini yeye anaunga tu na train lake
 
anakupima km una ela?
iyo nio test kwa magoldga bt si mademu wote
pole

km vp asi umwambie tu jaman...

Kila kitu mkiambiwa si mademu wote. watu wanaongea through experience hivyo lazima mchue maoni na kuyafanyia kazi. Sasa hao wenye hizo tabia wanaishi sayari gani mana nyie humu ndani kila kitu mkiambiwa majibu ni sio mademu wote.
 
ndo unataka kusemaje?
nikisema nimekutana na mwanaume mleviiii pale ilala ..basi ndio mbiooo jf na kuwasema wanaume wooooooote as if wote walev?...na kuandka nyie wanaume achen ulev mpaka mnajisaidia ovyo...utakubali..?asi utasema si wote nenda kamwambie uyo anayehusika?
the same to us
umekutana na msukule wako uko basi mfate kamwambie na siyo kuja jf na kuchamba wadada wote...thou atuikatai izo tabia kuwepo tusichotaka ni generalization zenu.
gud aftanun sir.
generalization MWIKO...specification alowed.
 
Unakuta una date na mwanamke yeye akija yuko na train (marafiki zake) sasa mimi nimekuita tuongee private wewe unabeba mashost wa nini?

Nakumbuka nilipokua Chuo demu wangu alikuwa na tabia ya kukusanya wenzake wanakuja hostel mtu nne mpaka tano ivi, nilichukua glass tano nikafungua soda moja na kuwakaribisha. hakurudia tena :eyeroll1: Aibu yangu aibuyake :car:
 
ndo unataka kusemaje?
nikisema nimekutana na mwanaume mleviiii pale ilala ..basi ndio mbiooo jf na kuwasema wanaume wooooooote as if wote walev?...na kuandka nyie wanaume achen ulev mpaka mnajisaidia ovyo...utakubali..?asi utasema si wote nenda kamwambie uyo anayehusika?
the same to us
umekutana na msukule wako uko basi mfate kamwambie na siyo kuja jf na kuchamba wadada wote...thou atuikatai izo tabia kuwepo tusichotaka ni generalization zenu.
gud aftanun sir.
generalization MWIKO...specification alowed.

Rose waua rose waua, mwenzio naumia sana...... Sio mtaalam wa kuimba lakini nadhani kama una kafahamu kawimbo haka ka zilipendwa katafikisha meseji yangu kwako, na sipendi kukuona unakosa tabasamu bibie,umeumbika usikwazike eeeh, achana na BB
 
Nakumbuka nilipokua Chuo demu wangu alikuwa na tabia ya kukusanya wenzake wanakuja hostel mtu nne mpaka tano ivi, nilichukua glass tano nikafungua soda moja na kuwakaribisha. hakurudia tena :eyeroll1: Aibu yangu aibuyake :car:

Haha haha braza hii safi sana, kesho angerudi tena ungemtandika na juice ya azam mls 50 na glass tano kama kawa
 
Kila kitu mkiambiwa si mademu wote. watu wanaongea through experience hivyo lazima mchue maoni na kuyafanyia kazi. Sasa hao wenye hizo tabia wanaishi sayari gani mana nyie humu ndani kila kitu mkiambiwa majibu ni sio mademu wote.

afu kwa kuwa wewe una MATATIZO NA MADEMU WOOOTE DUNIAN ...ni ngumu kueleweshwa...so :car:bak na michuk yako juu ya wanawake.
i cant hold u...:car: c u
 
Haha haha braza hii safi sana, kesho angerudi tena ungemtandika na juice ya azam mls 50 na glass tano kama kawa

Eee mkuu hivi vichalii vilinipelekesha sana jopo la wadau likanisaidia kupata solution si unajua mambo ya BUM na coleji?
 
Rose waua rose waua, mwenzio naumia sana...... Sio mtaalam wa kuimba lakini nadhani kama una kafahamu kawimbo haka ka zilipendwa katafikisha meseji yangu kwako, na sipendi kukuona unakosa tabasamu bibie,umeumbika usikwazike eeeh, achana na BB

athante....:smile-big::smile-big:
basi kesho stakuja nao wote ,..ntakuja na monica ,sandra na salma tu ..watatu asi wanaruhusiwa..???
stakuja nao wote watano...:frog:
 
Nakumbuka nilipokua Chuo demu wangu alikuwa na tabia ya kukusanya wenzake wanakuja hostel mtu nne mpaka tano ivi, nilichukua glass tano nikafungua soda moja na kuwakaribisha. hakurudia tena :eyeroll1: Aibu yangu aibuyake :car:

Kumbe ndio maana unalalama hujapataaaaa! Nilikuwa najiuliza kulikoni unalalama humu hujapata! Kuuumbeeeee! :shock::shock::shock:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom