Kwanini wanaume hatugombanii wanawake kama wanawake wanavyotugombania wanaume? 🤔

Mbaba mrefu

Member
Nov 18, 2023
69
51
Imekuwa ni jambo la kawaida sana sana kwenye jamii zetu sio tu Afrika hata ulaya unakuta wanawake wanapigana vikumbo kisa Mwanaume.

Either ni Mwanaume
1. Mwenye pesa
2. Handsome
3. Ana ushawishi
4. Maarufu n.k

Ila sisi wanaume pamoja na kuhonga kwetu mamilioni ya pesa Kwa ajili ya wanawake wazuri wenye shape na sura mbona hatuwezi kumgombania mwanamke Incase Kuna Mwanaume anataka kumchukua?

Yaani huwezi Kuta wanaume wanapigania demu mmoja never. Kwann?

Mimi binafsi pamoja na washkaji zangu hatujawahi mgombania demu yoyote yule kama akichukuliwa poa TU tunasonga mbele na maisha mengine .

Sasa swali Kwa wanaume wenzangu hii imekaaje?

N.B picha kusindikiza Uzi hapo hazihusiani na mada 🙂
 
Acha uongo!!

Wapo wanaume kibao wanaogombea wanawake on daily basis! Wanapigana makonde, mpaka visu wanachomana.
Mmh wapi hiyo . Mbona Mimi sijawahi kuona popote pale hata kwenye tamthilia sijawahi ona au movie yoyote iwe bongo au za mambele.

Hata mtaani sijawahi ona . Ww unaongelea kuchapiwa labda
 
Back
Top Bottom