Msiwalaumu wanawake tafuta wa hadhi yako hakuna mwanamke wa kawaida

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Mnao kataa kuishi na mwanamke hamna mashiko, kataa ndoa hatukatai kuishi na mwanamke tunakataa mkataba wa ndoa ambao wanawake ndiyo wanaoutaka kwa hamu ili wapate uhalali wa kututwanga na kutusagia kunguni pasi na huruma yeyote

Ishi na mwanamke acha ujinga, kupiga puchu ukubwani ni kuizulumu nafsi yako na maisha yako

Hivyo hakika na waambieni ndugu zangu wanawake ni viumbe wa binafsi mno hivyo katika kujiangalia kwao cheza na hadhi yako acha lawama, jipime alafu cheza kwenye level zako yanini kufia maji marefu na huna pumzi ya kutosha achia wezako.

Ndugu kaeni mkijua kadiri mwanamke anavyopanda thamani ndivyo unavyozidi kumkosa hata ufanye nini , na ikitokea umempata huyo siyo wa kwako peke yako tutamegeana kisela tuu.

**Wanawake wa high standard katika kizazi hiki cha nyoka wa umao pasi na kupepesa macho hawa ni kwaajili ya wanaume wa high standard pekee na siyo vinginevyo labda tuu awe yeye binafsi anatafuta mwanaume yeyote anae pumua baada ya kilometa kusoma mno ndiyo utampata na hapo unakua wewe ndiye umepatikana mwanaume

**Mwanamke wa medium standard ni kwa wanaume wa medium standard na high standard na siyo low standard sahau kumpata na ukimpata siyo wewe umempata bali ni yeye kakupata

**Wanawake wa low standard wengi wapo vijiji huko japo baadhi yao wanatoka familia masikini zilizo kaza mafuvu mjini kwa kujiita wapambanaji na hawa ni kwaajili ya wanaume wa low standard, medium standard na wanaume wa high standard

Na yote haya ni kwaajili ya ubinafsi wao wanawake na roho zao za kwanini, akiwaza atanipa nini au wa nini mie atanipaka nuksi tuu, hawezi kusaidia kwetu , nitamtambulishaje kwa mashost zangu.

Ukiambiwa tafuta hela rudi kwenye standard yako chekecha akili acha kuwalaumu dada zetu, wewe angalia mwanamke wa standard yako, ng'oa pisi kali huko weka ndani acha kuzeeka kibachelor huku unalalamika hakuna mwanamke wa kuoa ,

Fainali uzeeni hakika na waambieni mwanamke hana hasara mwanaume ndiye mwenye hasara, mwanamke anajuta tuu kuchezea usichana wake huku kaolewa na yeyote anaye pumua ili hali wewe una hesabu hasara zako siku za uzee wako wa tabu na dhiki kuu
 
Back
Top Bottom