Mmmh au ww ndio huvutiii hahah kwa dunia ya leo na mlivyo wengi all places are booked tafuta alie oa akusaidie
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
you are very right EMT, msingi mkuu wa ndoa ya kudumu ni compromise. hii si kwa wadada/wake tu, ni kwa wote. utakuta mara nyingi tu mnakuwa na mawazo yaliyopishana kabisa lakini at the end of day mnatakiwa kufikia conclusion, mtafikiaje bila compromise?Inavyoonekana hata ukifanikiwa kuingia kwenye maisha ya ndoa yatakusumbua sana. To have a great marriage you must learn how to compromise. You need to make concessions in your life. Kwa maandishi yako unaonekana kama vile you're working to create a perfect marriage. Ndiyo maana you're resisting the temptation to compromise on certain things.
I am not saying that if you're working towards creating a perfect marriage, then you should lower your standards to accomplish it. But if you're better off not compromising yourself to yourself, then you certainly aren't better off compromising with any prospective spouse.
Napenda spouse wangu awe rafiki yangu. Lakini kuwa rafiki haina maana kuwa "tufanane hata tuvyoona mambo na kufikiri yaani hata tuwe tunazungumza lugha moja mitazamo inaenda pamoja tusaidiane pamoja kufikia our vision". Eti kwa vile wewe unatumia Internet Explorer, basi hutaki kuolewa na mtu anayependa kutumia Firefox or Chrome.
Kwa vile wewe ni shabiki wa Simba basi unataka mume ambaye pia ni shabiki wa Simba ili msaidiane pamoja kufikia your vision ya kuchukua ubingwa kila msimu? Halafu Simba akifungwa, nani atampakata?
Inawezekana labda niko wrong. Jana FP kafikisha miaka 13 kwenye ndoa labda anaweza kukupa first hand experience kama she had to make some compromises kwenye maisha yake ya ndoa mpaka kufikia zaidi ya decade: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/335131-wedding-anniversary.html
Wewe fanya maamuzi yakipekee.mwenyewe........
ok hapa kidogu una sound muelewa
hebu nifafanulie 'status' ulimaanisha nini?
Habari wana JF,
Mie ni mdada umri wangu ni abt 27yrs, nimekuwa nikipata shida hadi sometimes i feel bad and embarassed . Tatizp ni kuwa Wanaume wengi wanaonifuata kwaajili ya mahusiano siendani nao in every aspect mfano education, status and age. Imefikia mahali nashindwa hata kujielewa labda nipo selective sana for men , i dont know. wengi wanaonifuata akiwa na elimu kama yangu basi atakuwa mdogo kuliko mie this happen many times, akiwa sawa na mie au above my age basi atakuwa either shule ndogo au status yake na mie tofauti sana so we can't be!. Naomba ushauri maana its time for me to share my life with some one but the bible say mungu atanipa wa kufanana nami ila mie simuoni huyo wa kufanana na mie na siwezi kuamua kuwa na mtu yeyote tu kwasababu hajatokea wangu, aina ya wanaume nina
o wa admire WAPO BUT HAWAJI and I can't approach them lo! sasa sijui mie ndo nina problem? yaani my heart is full of love and Iwant to share this with some one but wote wanaokuja ndo hivyo .
Nifanye nini ili nipate kufana
na mie ?
Aisee !. Du, huwezi kufanikiwa maifrendi. Kwanza wewe ni mbaguzi wa elimu. Kwani darasa likiwa dogo, hawezi kujiendeleza? Elimu haina mwisho. Ni mpangilio tu. Tatizo kubwa ndo hilo. Kuhusu umri si neno. Lbda kama wewe unadhani kwa kuwa na umri mdogo, hawezi mambo. Age does not matter. What matters is love my dear. You have to open your heart and accept any man who approches you regardless of age or education. Shauri yako. Utaozea hapo ndani. Kumbuka wimbo wa zamani wa Daudi Kabaka...Msichana mzuri na mrembo kama wewe, hata ng'ambo umeenda ukarudi, lakini kutokana na maringo yako, hakuna wa kukuoa na siku zinaenda na sura yako imechujuka sasa. Wasichana wa nyuma yako wote wameolewa wakakuacha ukihangaika. Be alert my dear!. Acha maringo na kujiona uu msomi...
Habari wana JF,
Mie ni mdada umri wangu ni abt 27yrs, nimekuwa nikipata shida hadi sometimes i feel bad and embarassed . Tatizp ni kuwa Wanaume wengi wanaonifuata kwaajili ya mahusiano siendani nao in every aspect mfano education, status and age. Imefikia mahali nashindwa hata kujielewa labda nipo selective sana for men , i dont know. wengi wanaonifuata akiwa na elimu kama yangu basi atakuwa mdogo kuliko mie this happen many times, akiwa sawa na mie au above my age basi atakuwa either shule ndogo au status yake na mie tofauti sana so we can't be!. Naomba ushauri maana its time for me to share my life with some one but the bible say mungu atanipa wa kufanana nami ila mie simuoni huyo wa kufanana na mie na siwezi kuamua kuwa na mtu yeyote tu kwasababu hajatokea wangu, aina ya wanaume ninao wa admire WAPO BUT HAWAJI and I can't approach them lo! sasa sijui mie ndo nina problem? yaani my heart is full of love and Iwant to share this with some one but wote wanaokuja ndo hivyo .
Nifanye nini ili nipate wa kufana na mie ?