:biggrin1: mwambie avue wigi hilo tuone kipara chake...pua hiyo utafikiri kaumwa na nyuki!!
huyo ndio diva wa kina ruge
Tena kama amegundua kuwa WENGI wananuka, basi inamaana amekwenda kwa WENGI. Ni mtu wa kuogopwa sanakama ana-date na visharobaro....vitaacha kunuka.....afate wanaume wenye staha zao aone.....
sasa kama yeye anatembea na akina kibonde anategemea nini. Aje kwangu aone
Huyu demu ananuka Chupi, Kuna jamaa yangu alishawahi Ku attempt kummega akaishia kutapikaYani huyu akiniambia nimrukie then ananilipa wala sikubali, aaiiggrrh! Hata havutii!
Nasikia ni bikra.
Kuna kaka mja ilibidi nimwambie alikuwa ananuka mpaka nzi wanamfuata akaoa tukajua sasa atasafishwa ila wapi,ni wanaume wachache sana ni wasafi hata wa hapa mjini,hata kipandi tupo chuo hosteli unamwona mtu anakwenda oga anarudia boxa hata wiki mzima kiukweli ni wachache sana sana,mtu anarudia soksi mpaka inakuwa ngumu,mfano tunazoziona sana wale wapanda daladala makonda yani anapoinama kwenye du!
Kwani anadanganya?
diva ndio nani?