Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

ni kweli kweli kweli tu wanaume wengi ni wachafuuuuu!!!!!!!!!!!mno jamani jirekebisheni ebo?
mama mbona unajamba sasa, mchafu mmeo, au una sample gapi na mean graph yako ndo imekupa hayo majibu, si dhani tumia SPSS
 
Hata siungani wala sipingi . .
Nasema tu muwaridhishe wale wanaounga mkono hoja.

Mkirua Kuweni na pair 5-7 za boxer na soksi ili muweze kubadilisha kila siku na kufua mara moja kwa wiki kama muda ni tatizo.
Sawa madame Lizzy, wamekusikia....hopeful wenye kauka nikuvae watajitahidi waongeze though kuongeza idadi jambo moja kufua jambo la pili... unaweza kuwa nazo dozen bado ukasmell na kukera wadau!!
 
Sawa madame Lizzy, wamekusikia....hopeful wenye kauka nikuvae watajitahidi waongeze though kuongeza idadi jambo moja kufua jambo la pili... unaweza kuwa nazo dozen bado ukasmell na kukera wadau!!
Mkirua ndio maana sikuacha kusema "muweze kubadili kika siku" . . . .

Kuweni wasafi msilalamikiwe na wasichana wenu.
 
Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?

Kunuka mdomo au soksi kwa maana ya miguu wakati mwingine laweza kuwa la kitabibu zaidi ya yeye anavyofikiria. Aliponisikitisha na kunishitua ni hapo pa wanaume wengi na boxer. Seem she is good at men. Vilevile mwenzako akiwa na tatizo ni wajibu wa kila mtu kuona kwamba anasaidiwa. Yeye anawasaidiaje watu hawa au ndo anaendelea na uchunguzi wake wa kuwajua zaidi wenye boxer hizo? Nadhani hakustahili kabisa kuiweka mada hii katika mitandao ya kijamii
 
Preta, kama ameongelea kwa popn ya TZ nzima kunaweza kuwa na ukweli.

Asilimia kubwa ya watz wako vijiji na hizo shower jely watazipata wapi? Au hizo boksa watapata wapi wakati wanahitaji mahindi ya msaada?

Kuna ukweli hapa, labda kama tunaongelea hawa wa mjini wenye makazi makubwa.
Kongosho , If that is the case, then hili tatizo lipo hata kwa Kina Dada/ wanawake pia, kama wanategemea mahindi ya Misaada,watapata wapi hela ya Kununua chupi.
Pia maswali zaid, kajuaje, amemegwa na wanaume wangapi mpaka akapata hiyo research, ina maana hao wanaume waliommega wote wa kijijini, Huyo Demu anataka kujieleza how kicheche she is mpaka kujua Maeneo Nyeti ya wanaume tofaut tofaut.
Pambaf zake
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mwanamke anasema wanaume wananuka vinywa, boxer...over all ni wachafu..kayaongea hayo jana Cloudz...anav..u..ru..gwa nini!
 
Huyu ndo DIVA THE LOVENESS LOVE anasema wanaume wa tanzania hawaogi, hawafui nguo za ndani, hawapigi mswaki. Wewe kama mwanaume na mwanamke mwenye mpenzi wa kiume wa kitanzania unasemaje kuhusu hili.

Dubwasha.JPG
 
Huyu Mwanamke anasema wanaume wananuka vinywa, boxer...over all ni wachafu..kayaongea hayo jana Cloudz...anav..u..ru..gwa nini!

Yuko sawa kabisa, wanaume kunuka midomo, mwili, chupi na miguu ni jambo la kawaida.
 
...kuna mdada humu ana shobo kama za diva...nahisi ni mbaya hakuna mfano!...simo!
 
577028_318175401591053_100001957871405_742977_1970884184_n.jpg

huyo ndio diva wa kina ruge

Kama ni huyu lazima ataaamini kuwa ni wanaume wengi wa Tz wananuka boxer,midomo,soksi nk kwasababu ana kamchezo ka-kutembea na waume za watu na mara nyingi wanam-do wanapokuwa wanatoka maofisini ambapo wanakuwa hata hawajaoga na wakimaliza ndio wanaenda makwao sasa unategemea nini hapo!
 
Back
Top Bottom