Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

Akipata mwanaume afuate kilichompeleka sio anaanza kunusa boxer inaonekana huyo boyfriend wake jogoo hawiki hadi anapata muda wa kunusa boxer.
 
Yani domo la kibonde ndo linawakilisha wanaume wote tz! She must be sereuz
 
Yeye mbona akipigwa style ya mbuzi kagoma harufu yote ya kinyesi inajaa puani mwa mshughulikaji???????!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi diva ndiyo yule dada mwenye miguu kama sindano halafu mwili tipwatipwa? Kama ni yeye basi yupo sahihi kabisa, maana wanaume wa aina hiyo ndiyo size yake. Wanaume wenye heshima zao hawawezi kumtokea yeye.
 
Hehehee hivi kameishia form ngapi?..alichopaswa kufanya ni kutoa tips za kumfanya mtu awe msafi na sio kuponda!diva!diva my foot!
 
wanaume wachafu sio watz tu...embu ajaribu wazungu wanigeria wakongo alafu atuambie kama watz ndio wachafu zaidi...

Wazungu ndo wachafu kuloko kawaida tena wananuka hadi ngozi.........lol. My take msimkuze diva to such extent. kwani ni nan yeye. i hate watu wanaotangaza vitu ambavyo havina utafit wa kutosha na kwakua ana nafasi ya kutumi media basi mambo ya ajabu tena huwez kuami kuna siku alikuwa ansea eti hapend jins watu wanavyocheza kwaito na akaendelea yye akienda wenye pati basi huwa anakaa kuwapisha wanaocheza tena ana dai hiyo kwaito imechezwa huko zamani sana so wote wanaoicheza sasa hivi ni washamba aliniboa kimsingi.
 
Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?

Ni watanzania wangapi wana access ya maji safi na salama? Je, yeye mwenyewe ni msafi? Tunaomba picha yake hapa! Kama alikuwa anafanya research kwa njia ya participant observation nakubaliana nae lakini kama haikuwa research bali ni uhuni tu, hii sio point. Na je kazi yake ilikuwa kunusa boxers? Hii inaweza kuwa psychological problem!!!!!
 
Nitamlipia nauli na gharama zote kama yupo tayari kwenda hapo jirani Nairobi.

Kuna kitu special kinaitwa "Nairobi bath"..... Beseni la maji na taulo inatosha. Unanawa uso na kujifuta makwapa.. basi..!!!
Kisha, unatinga suti yako ya bei mbaya.
 
Back
Top Bottom