Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

Wenye wake zao mara nyingi wanafuliwa na wake zao, na wengi wanaoga daima hukuta kila kitu mkewe kesha muandalia sasa sijui hao masingle ila kwa wenye ndoa wengi wao huwa wanajiswafi labda kama "hubby wake"
 
anazan kile kijamaa chake kinaitwa moraka kilivyo na boksa 1 basi wote tuko hvo.wengine tuko smat bhana,tunafua boksa kila wikend ikikauka tunapiga pasi stephot
 
Last edited by a moderator:
577028_318175401591053_100001957871405_742977_1970884184_n.jpg

huyo ndio diva wa kina ruge

Yani huyu akiniambia nimrukie then ananilipa wala sikubali, aaiiggrrh! Hata havutii!
 
Diva unawadharilisha wanaume uliotembea nao na wanaume wa ofisini kwenu watakutenga na pia mbona na wewe mda mwingi unatafuna big g(bazooka) mdomoni au na wewe unatema?
 
Jaman yan kawachana wakina Kibonde,mchomvu,B12 Mana ndo hanao kutana nao na kutoa utafiti huo. KIBONDE acha kelele boxer imetatuka.
 
Kuna kaka mja ilibidi nimwambie alikuwa ananuka mpaka nzi wanamfuata akaoa tukajua sasa atasafishwa ila wapi,ni wanaume wachache sana ni wasafi hata wa hapa mjini,hata kipandi tupo chuo hosteli unamwona mtu anakwenda oga anarudia boxa hata wiki mzima kiukweli ni wachache sana sana,mtu anarudia soksi mpaka inakuwa ngumu,mfano tunazoziona sana wale wapanda daladala makonda yani anapoinama kwenye du!

Nina mashaka na uwezo wako wa kufanya research, yani wavulana wachache wa chuo ulichosoma na makonda wa kwenye daladala ndio wanawakilisha jamii nzima ya wanaume! Jaribu pia kuchunguza wanaume waliopo maofisini kama kwenye makampuni, mabenki, ubalozini, NGOs, n.k. Baada ya hapo uje na jibu la uhakika, wasiwasi wangu ni namna utakavyofanya huo utafiti.
 
Hizi topic za ki-facebook huwa hazifit JF. Too childish...
 
Back
Top Bottom