Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
hapo hakuna upendo akufukuzae hakwambi toka au kubali kuwa ATM
gfsonwin unaonekana una msimamo kweikweli,shemeji si atakuwa mpole sana hapo?
Ni mimi
basi kaka yangu carturaa miye nakutabnaga na wenye roho kama za kuku wa nyama ambao kelele tu wanaanguka na kuzimia.lakini unajua sis gfsonwin, kuna wanaume wana roho kama paka duniani.... mpe masharti yoyote, he will always come up with a solution wakati huo akiwa ametega akumege.... and the more unavyomzungusha, ndiyo jinsi utakavyoshughulikiwa siku ya tukio....
katika visa vingi hii mbinu inafanya kazi vizuri na kwa mwanaume makini ishu sio ukubwa wa dau, mimi hata ukhniambia unataka 2000 kama sharti la kulala na wewe tutashindana tu! Sipendi kuwekewa sharti la pesa, mambo ya pesa tuyazungumze ndani ya mahusiano.
Lakini natoa angalizo kwenye mbinu yako hiyoesa hazionekani katika sura ya mtu!
Kuna kijana mmoja hapa Mbeya anabeba mizigo ya watu na hajipendi katika mambo ya usafi yaani kama chizi vile. Lakini bado anafukuzia akina dada! Wakati fulani alikuwa akimtongoza dada m1 anayeuza duka ka nguo na ni mke wa mtu! Yule dada alikuwa akhcheka tu na kuwasimulia mashosti wake. Kijana alizidi kumsumbua yule dada ndipo akamwambia akitaka ampe alete 75,000! Kijana aliondoka fasta na kuleta hilo dau taslim!!! Kimbembe kikaanza. Dada hataki kupokea hela kijana kaja juu kuwa tumekubaliana! Ilibidi yule dada ampe 5000 ili aondoke, ndipo kijana aliporidhika na kuondoka! Umeipata hiyo? So, be careful!
lakini unajua sis gfsonwin, kuna wanaume wana roho kama paka duniani.... mpe masharti yoyote, he will always come up with a solution wakati huo akiwa ametega akumege.... and the more unavyomzungusha, ndiyo jinsi utakavyoshughulikiwa siku ya tukio....
hapana siyo kwamba namuonea ila tu ni kwamba niko napenda uhuru wangu na kuheshimu naasi yake kama baba na mume. na ukweli uhuru mtamu ni ule wa kuwa na hela yako mwnyw siyo wa kunyoosa mkono kama omba omba. uliza utaambiwa na hata heshima inakuwepo mkuu.
hapo hakuna upendo akufukuzae hakwambi toka au kubali kuwa ATM
nikipata mwanamke wa aina kama yako mbona hufikirii mara 2,yani kwanza unakuwa hufikirii kila saa kugeuzwa saccos,pia lazima utakuwa na uhakika wa kushauriwa vizuri pale mambo yanavyokwenda ndivyo sivyo,tatizo linakuja kuwa siku hizi wanawake wengi hawana msimamo,kwao kitu cha kwanza ni pesa tofauti na hapo utakula kwa macho tuu.
Hiyo ni rahisi sana, unakubali then unamwambia twende nikachukue hela kwenye ATM, ukifika unaingiza kadi na kubofya pin namba kinyumenyume mfano badala ya 5974 unaweka 4795 kadi itamezwa, then unamwambia utachukua hela kesho, unaomba mzigo hawezi kukataa, unamega na kuingia mitini....upo mkuu!
aah! sasa hapo unakosea kwani miye malaika bana? waweza kukuta mapungufu yangu yapo kwenye vitu vingine kabisa kama vile kupenda kujirusha ama kitu kingine chochote ambacho tena ni bora anayepiga mzinga kuliko mimi so usiseme hivi hata siku moja.
Ukisikia ufisadi ndio huo! Kweli baasha wa kwako mwenyewe unamchuna! Hawa ndio wale kuna wa vocha, blackberry, gari, mafuta, karolight. Pole! Ucmpangishie uone? Au wewe unamuonyeshea mawe? Bac akuonjeshe hata kidogo? "PIGA CHINI au unasubiri manyoya"?
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana kila ukimuomba penzi anakuzungusha kwa sababu mbalimbali na ahadi zisizotimilika.Unaamua kutulia tu;siku moja unapokea sms yake inasema hivi,"HONEY NAKUPENDA SANA,NAPENDA KUWA NAWE ILA KABLA SIJALALA NAWE/KUFANYA MAPENZI NAOMBA UNILIPIE PANGO LA NYUMBA MIEZI 6(72000) COZ KWASASA SINA KAMAPANI NA NIMEFULIA,JE UPO TAYARI?".sasa kama ungekuwa wewe ungefanyaje?