Wanaume:utajisiakiaje.......

Haya ndo matope ya wanawake wachahce ambayo nikiyaskiaga natamani kutapiaka lol!

hela ya mwanaume tena si mume ni mpenzi aisee tumeumbwa tofauti. am your love but my doesnt know you and yours doesnt know me. nipe kwa upendo pasi kuomba kabisa nalia shid aduh hapana niacheni tu niuze ice cream na karanga darasani.

You doesnt know? duuu jamani hivi ni lazma kuongea hii lugha ama ndo swaga zenyewe
 
You doesnt know? duuu jamani hivi ni lazma kuongea hii lugha ama ndo swaga zenyewe

aisee kama huji dunian hakunaga aibu kama ya kuomba kitu halafu usipewe wakati unajua kwamba uliyemwomba anacho. sasa ili isikuumize inabidi na wewe unaichukulia kimasihara tu
 
inategemea!! unahisi huyo dada anakupenda kweli, inawezekana hakukupa mwanzo maana alikuwa anajaribu kulipia mwenyewe. aliposhindwa ndio akaja kwako, approach yake ni mbaya maana ana-assume upo naye just for sex, just mlipie halafu muulize kama anaupendo kwako. wengine wanabana penzi kutokana na stress za maisha, dada kabugi step lakkkini sidhani kama hakupendi

kwanini asiombe tu kwa njia ya kwaida kuliko kutumia njia aliyootumia,hapo ameona security yake ni penzi,au inawezekana labda kuna kitu amehisi juu ya mahusiano haya,sidhani kama ni njia nzuri hasa kwa mapenzi machanga coz una display tabia zako kiuhalisia.
 
kama ktu mkitoka anakugharamia laki kwanini nimpige mzinga wa laki piga wa m5-10 manina wallah mwenyewe anapiga chini na wewe kiulain unakaa pambeni.

gfsonwin utaua aisee, million 5 hadi 10? service ina-correspond na value for money kweli hapo?
 
Last edited by a moderator:
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana kila ukimuomba penzi anakuzungusha kwa sababu mbalimbali na ahadi zisizotimilika.Unaamua kutulia tu;siku moja unapokea sms yake inasema hivi,"HONEY NAKUPENDA SANA,NAPENDA KUWA NAWE ILA KABLA SIJALALA NAWE/KUFANYA MAPENZI NAOMBA UNILIPIE PANGO LA NYUMBA MIEZI 6(72000) COZ KWASASA SINA KAMAPANI NA NIMEFULIA,JE UPO TAYARI?".sasa kama ungekuwa wewe ungefanyaje?

Kamata mwizi meeen !
 
hhahahaaa nimecheka sana coz hii huwa nafanya sana .kweli kama mwanaume simtaki lazima nimpge mzina mreefu ambao najua hawezi nipa nahapo ndo namwambia usinisumbue kama huwezi nipa hata sh flani.mja nilimwambia nina shida ya laki akaenda baada ya siku 3 kaniletea nikamwambia usinisumbue nshapata kwa mwanaume mwingine,mngine alijishaua na vilaki nikamwambia nina shida ya milioni nne sijamwona tena.hahhah lakini kama nampenda mwanaume hata kumi siombi na akinipa pesa namuliza ya nini
 
wewe wa mashtuzi stress kwako miye na wewe tunassume tuko peponi tu usinipige mzinga wala nisikupige na siku ukiona unadhiki hadi miguuni usintafute na mimi nikiwa hivyo sikutafuti so heshma mbele. ni upumbavu san akutegemea wanaume hasa kwenye hela.

itabidi nikutafute unidadavulie kidogo kuhusu dhana ya 'mashtuzi' aisee
 
hhahahaaa nimecheka sana coz hii huwa nafanya sana .kweli kama mwanaume simtaki lazima nimpge mzina mreefu ambao najua hawezi nipa nahapo ndo namwambia usinisumbue kama huwezi nipa hata sh flani.mja nilimwambia nina shida ya laki akaenda baada ya siku 3 kaniletea nikamwambia usinisumbue nshapata kwa mwanaume mwingine,mngine alijishaua na vilaki nikamwambia nina shida ya milioni nne sijamwona tena.hahhah lakini kama nampenda mwanaume hata kumi siombi na akinipa pesa namuliza ya nini

kwa mtindo huu mtateketeza this young generation.kwanin kama mtu humpendi usimwambie tuu ukweli kuliko kuchezea hisia zake?.
 
Wengi ving'ang'anizi halafu kwa hulka ya kinadamu kama mtu una dhamira ni ngumu sana kumwambia mtu direct sikutaki ndo mana natafuta pa kutokea
 
na hicho ndo kitu ambacho mimi nakipinga usiseme eti mimi mma wa nyumbani uliazaa nyumba kwani???? cheza basi upatu hata wa 500 kwa siku. weka kwenye kibubu uza ice cream na karanga na ubuyu hapo ndani ili upate hela yako binafsi.... aisee fuma basi vitambaa ama finyanga hata midoli uuze lol!

ukisema miye mama wa nyumban kutwa nzima unakesha kutizama filam za kanumba na unapata kila siku buku ya kukodisha ni upumbavu wala sikuonei huruma. nenda vijijini uone jinsi akiana mamawanavyohangaika ili kupata kipato lakn wa humu mjini wamekalia carolight na bongo movies imekula kwao aisee.

gfsonwin unaonekana una msimamo kweikweli,shemeji si atakuwa mpole sana hapo?
 
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana kila ukimuomba penzi anakuzungusha kwa sababu mbalimbali na ahadi zisizotimilika.Unaamua kutulia tu;siku moja unapokea sms yake inasema hivi,"HONEY NAKUPENDA SANA,NAPENDA KUWA NAWE ILA KABLA SIJALALA NAWE/KUFANYA MAPENZI NAOMBA UNILIPIE PANGO LA NYUMBA MIEZI 6(72000) COZ KWASASA SINA KAMAPANI NA NIMEFULIA,JE UPO TAYARI?".sasa kama ungekuwa wewe ungefanyaje?

Namlipia...
Alafu sidai tufanye ngono... kimya kama wiki 2 nione atasemaje.
 
kwahiyo hapo ni akili ya kijana kujipima napendwa mimi ama inapendwa pochi? akishalijua hilo aamue yeye. sioni sababu ya kuendekezana kutunzana kabla ya kuoana hata siku moja na ni sawa na mtu anayemsomesha mwanamke eti siku aje amuoe mfano hai tunaona kila siku humu jamvini. sasa huyu kamlipie kodi ya pangi kisha utashuhudia kifua chuma mwingine akilala huko wewe ukikazana na kodi

umenifurahisha,chukua tano......
 
Alafu nashangaa... mi nimetongoza dem kanikubalia, sasa suala la kubanjuana naomba tena???!!! Sasa alinikubalia nini?
 
Alafu nashangaa... mi nimetongoza dem kanikubalia, sasa suala la kubanjuana naomba tena???!!! Sasa alinikubalia nini?

labda mahusiano yanakuwa phase mbalimbali,phase ya kuanza mahusiano,phase ya kuanza tena mchakato wa kuomba penzi.......and so on.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom