Wanaume:utajisiakiaje.......

Alafu nashangaa... mi nimetongoza dem kanikubalia, sasa suala la kubanjuana naomba tena???!!! Sasa alinikubalia nini?

swali zuri.... itabidi uangalie 'mkataba wa makubaliano'; inawezekana wewe unaruhusiwa kumbusu kwenye paji la uso tu teh teh teh
 
Yaani mi sina mkataba zaidi aisee. Siku mtu ananiambia kuwa amekubali kuwa mpenzi wangu... kwanza ikiwezekana tunazindua siku hyo hyo. Na siku nikitaka au akitaka yeye, ni suala la kuelekezana tu tukutane wapi. Unless kuwe na tatizo la kiafya au ratiba au kitu kingine kinachoeleweka...
 
Unajibu:
Mpenzi nilikupenda sana ila nimeghairi natafita mchumba mwengine!
Wapo wanaomba mpaka laki 5 to millioni, na wenye akili zao ni hutoka nduki balaa
"FUATA ASALI ULIWE NA NYUKI"...................TEH TEH EH TEH TRIIIIIEEEEE
 
Kaka nunua tu,ukiona hyo bei kali,tafuta kwa bei rahisi.

Ukweli ni kwamba huyo msichana hana maana angekuwa na maana ww mpenzi wake angekuomba tu umsaidie kulipa hiyo kodi bila kusema nipe nikupe au anakuona na ww siyo mkaaji kwa hiyo anataka mtoke ngoma droo!...
 
Lakini pia Nakapanya kuna kitu kimoja sku hizi wanawake njia nzuri ya kunfukuza mtu usiye mtaka ni hii unampiga mzinga mtakatifu kabla ya kuvunja amri basi lazima ale kona tu hata iweje na hapo najua fika hutoweza kurudi manake kama umeshindwa kumpa wafikiri atakuelewa?

nilishawah kuapply njia hii and it worked nia ilikuwa kujiondolea shombo so i proposed big amount of money alipoona maji marefu he kept quite na mimi i kept shush so auto akawa amejiondoa kwangu. sasa kama mtu unamwambia hakuelewi mpaleke chaka tu ivo ivo.

so jiangalie kama kweli alishawah kuonyesha kutokukutaka basi hii ndo njia ya kukufukuza.

Utajaliwa tigo ww, usije ukasema sijakuonya.

Amount kitu gani? kwako inaweza kuwa kubwa lakini kwake isiwe ishu.
 
Ningekuwa ni mimi ningemwambia hata mie nampenda sana ila 72000 kwa wakati huo sina, akubali kufanya mapenzi na mimi kwa mkopo then nikipata hiyo amount nampa.
 
Kaka nunua tu,ukiona hyo bei kali,tafuta kwa bei rahisi.

Ukweli ni kwamba huyo msichana hana maana angekuwa na maana ww mpenzi wake angekuomba tu umsaidie kulipa hiyo kodi bila kusema nipe nikupe au anakuona na ww siyo mkaaji kwa hiyo anataka mtoke ngoma droo!...

hapo sidhani kama ngoma itakuwa droo,lazima upande mmoja utaliwa tuu.
 
ajipime nguvu kama hawez aachie ngazi. sasa wampa dau dogo aliweze halafu ubaki na shombo lake?

lakini unajua sis gfsonwin, kuna wanaume wana roho kama paka duniani.... mpe masharti yoyote, he will always come up with a solution wakati huo akiwa ametega akumege.... and the more unavyomzungusha, ndiyo jinsi utakavyoshughulikiwa siku ya tukio....
 
Last edited by a moderator:
72000/= kwa miezi sita!!! kodi kwa mwezi 12000? Anakaa Manzese kwa mfuga mbwa?mpe tu kama sadaka
 
Yuko kibiashara zaidi huyo hana mapenzi kabisa, stuka na kusepa haraka sana kabla hujalizwa na huyo CD.

Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana kila ukimuomba penzi anakuzungusha kwa sababu mbalimbali na ahadi zisizotimilika.Unaamua kutulia tu;siku moja unapokea sms yake inasema hivi,"HONEY NAKUPENDA SANA,NAPENDA KUWA NAWE ILA KABLA SIJALALA NAWE/KUFANYA MAPENZI NAOMBA UNILIPIE PANGO LA NYUMBA MIEZI 6(72000) COZ KWASASA SINA KAMAPANI NA NIMEFULIA,JE UPO TAYARI?".sasa kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
Last edited by a moderator:
..mi ningemwambia nipe penzi kwanza pango nitalipia baada ya hapo....nakupenda sana!
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana kila ukimuomba penzi anakuzungusha kwa sababu mbalimbali na ahadi zisizotimilika.Unaamua kutulia tu;siku moja unapokea sms yake inasema hivi,"HONEY NAKUPENDA SANA,NAPENDA KUWA NAWE ILA KABLA SIJALALA NAWE/KUFANYA MAPENZI NAOMBA UNILIPIE PANGO LA NYUMBA MIEZI 6(72000) COZ KWASASA SINA KAMAPANI NA NIMEFULIA,JE UPO TAYARI?".sasa kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
halafu hii nyimbo naipenda ni kali!
Yuko kibiashara zaidi huyo hana mapenzi kabisa, stuka na kusepa haraka sana kabla hujalizwa na huyo CD.

Last edited by a moderator:
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana kila ukimuomba penzi anakuzungusha kwa sababu mbalimbali na ahadi zisizotimilika.Unaamua kutulia tu;siku moja unapokea sms yake inasema hivi,"HONEY NAKUPENDA SANA,NAPENDA KUWA NAWE ILA KABLA SIJALALA NAWE/KUFANYA MAPENZI NAOMBA UNILIPIE PANGO LA NYUMBA MIEZI 6(72000) COZ KWASASA SINA KAMAPANI NA NIMEFULIA,JE UPO TAYARI?".sasa kama ungekuwa wewe ungefanyaje?

Mimi nadhani ni suala la kukubaliana baye au la, maana hiyo ni kazi. Sana sana kama ni mimi nitamuuliza kwa bei hiyo nitalala naye for how long?
 
mvaa tai hii avatar yako kiboko! jamaa anakwenda lakini hafiki, halafu huo mwendo wake!!!!
Mimi nadhani ni suala la kukubaliana baye au la, maana hiyo ni kazi. Sana sana kama ni mimi nitamuuliza kwa bei hiyo nitalala naye for how long?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom