TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,627
- 2,272
acheni uzinzi. Subiri muolewe ndipo mmegwe. Mnahangaikia nini? Mwanaume hana akitafutacho zaidi ya kukutusua na akigundua uchi wako ni wa kawaida kama wengine anajiona mjinga alivyokuwa anahangaika kabla ya kukupata na anakudharau wewe uliyekuwa unamzungusha. Kama utapenda kuendelea kugawa uloda kabla ya ndoa, basi mtu akikuomba usimzungushe, mpe mara moja.
hahaaa,point well taken,thx.