Wanaume Nisaidieni

Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi

Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:

1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????

2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??

3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?

Natumai maswali si mengi sana.

Hua tunataka hicho ambacho akitupatia tu tunaanza hayo uliyoyasema. Teh!
 
Kama analala kama gogo unamwamsha tu jamani kwa upendo ambao ulimuonyesha kabla hadi ukamfikisha hapo kitandani.
hakuna shule wanaenda wala mazoezi ya vitendo ambayo wanawake wote tunapitia....jitahidi kwanza kumbadili then ndio umuache. Tatizo wanaume wengi hawapendi,mkipenda hata miti iliyoanguka haisogezeki wala hata kuitikia mapigo mnadumu nayo tu.

Nakuambia kutokana na experience mtoto. Kuna mmoja nilipiga mara moja. Mhhhhh. Mpaka kesho hajui kwanini sikupiga ya pili na kwanini namkwepa kila akinitafuta faragha since 2012.

Najisikia vby kwani before that tulifanya romance sana na alikuwa mzuri kwenye hilo la udenda ila duh, kwenye 6x6 ni sifuri sitaki tenaaaaaaaaa!
 
Hahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa............,Kiukweli wanawake ni wataalamu wa ubinafsi sana na wanataka kumtawala mwanaume pia kujifanya wangu na kujifanya wepesi kila pasipo hitajika. Wanaume wamegawanyika katika sehemu mbili na nimbilituu,wanaotaka kusumbuliwa ndio wapewe na wanao taka kukubaliwa wapatapo nafasi,tatizo kwa wasichana huwa wanakuwa tofauti pale pa haraka wanafanya taratibu na pataratibu wanafanya haraka kutowa maamuzi.Mwisho wa siku ngoma ndio hiyo wanakuwa wa kwanza kulalamika. Ukitongoza ukaacha na kuanza pengine yeye ndio anakuja kujilainisha ukipiga na kuacha unalaumiwa!!!!!!!........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom