Wanaume Nisaidieni

acheni uzinzi. Subiri muolewe ndipo mmegwe. Mnahangaikia nini? Mwanaume hana akitafutacho zaidi ya kukutusua na akigundua uchi wako ni wa kawaida kama wengine anajiona mjinga alivyokuwa anahangaika kabla ya kukupata na anakudharau wewe uliyekuwa unamzungusha. Kama utapenda kuendelea kugawa uloda kabla ya ndoa, basi mtu akikuomba usimzungushe, mpe mara moja.

hahaaa,point well taken,thx.
 
mahusiano ya mapenzi kwa ujumla ni sanaa. it's an art! wanaume hukimbia kama you are not a donor but always a recipient . Give much of what you have and will get much of what he has. Period!!!
 
Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi

Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:

1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????

2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??

3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?

Natumai maswali si mengi sana.
Ni sex then niwe huru ukiniona na Preta usinune nakuniletea kero eti kwa nini umekaa hapa na huyu ninani!!In fact sisi ni madakitari kazi nikutoa dose hope umenielewa okay??
 
Sasa hao 15 tu ndo umeamua kutuweka wote mamilioni tuna tabia hiyo.

Hujatulia,nimesema wengi wao Aspirin,ntakugeuza panado,we endelea na kutokujibu hoja kutafuta uchokozi.............lol
 
maswali mazuri sana,ila mara nyingine mwanaume anakuwa na mapenzi ya kweli kwa bint ambaye anamzungusha kwa muda mrefu halafu anafikiri ndio anamkoleza kumbe tayari anaanza kumdistance wakiingia kwenye mapenzi kidume ameshasahau mambo yote mazuri na anaanza kufikiria upande hasi wa huyu binti,mbaya zaidi alitegemea kwa kuzungushwa kule labda binti ni kigoli au ana mashine tamu ,badala yake anakuta tope tope na kazi haiwezi sasa hapo ndio tunarudi nyuma na mambo yanakuwa kama ulivyosema Michele
 
15,na bado ninaishi........

katika hao 15, hujapata tu majibu ya mawsali yako uliyotuuliza hapa?
Kama, hujapata, endelea kuongeza idadi,
utajua tu kwanini huwa tupo hivyo!
ubarikiwe michelle!!!!!!
 
Michelle.......haya maswali uliyowauliza kina kaka ni magumu na kwa kweli kupata jibu straight huwa ni ngumu na mwisho some of the majibu yao au reactions zao tunazichangia sisi wenyewe.............
1. Why wanabadilika after ku-do: Inategemea na jinsi Do yenyewe ilivyokuwa (Utashangaa nikikwambia hii haihusiani na kuwa mrahisi wa kumchojolewa wala nini). Unaweza ukakutana naye leo na kesho ukajikuta umechojoa!! Kama game ilikuwa exciting na mdada umejua namna ya kuifanyia haki ule usemi wa 'First impression is the one which lasts' basi atarudi tena na tena na tena. But unaweza ukamzungusha mwaka na siku unachojoa ukayavurunda ..hutomsikia tena. Si it depends na mdada mwenyewe how you handle the situation- che muhimu jua basics za kumfanya astick ambazo zinaapply kwa wanaume wote na zile specifics za yeye anataka/pendelea nini.

2. Hakikisha unatoa full package.........some challenging ideas (asikuone we mwanamke sura tu) Cheza kwenye anga zake show your brain (If you dont have one, buy time to borrow). HAve that sense of humour, be cheerful and an entertainer (Do not overdo though).

3. Mnapokuwa hamko pamoja dont overshadow him with mijimessages, simu kila saa as if he is already committed to you ........na hapo atakapoamua kuuchuna (sometimes huwa wanatutega by just creating the gap) nawe kaa kimya........usinchoke na cm au sms za mbona hupokei simu zangu mbona vje.....mpe space.

But sikatai, some are just jerks
 
Ni sex then niwe huru ukiniona na Preta usinune nakuniletea kero eti kwa nini umekaa hapa na huyu ninani!!In fact sisi ni madakitari kazi nikutoa dose hope umenielewa okay??

Nimekuelewa Kakakiiza,sasa si muwe mnasema nataka sex then kama nikikupa uwe huru na Preta wako jamani?
 
mahusiano ya mapenzi kwa ujumla ni sanaa. It's an art! Wanaume hukimbia kama you are not a donor but always a recipient . Give much of what you have and will get much of what he has. Period!!!

si kweli,wengine hata udonate vipi wanakimbia.
 
kwa hiyo kama unampenda mtu usimzungushe usimjengee negativity about u,mpe akupe hata kama kuna vitu haviko sawa ni rahisi kuvisolve kuliko kuniheartbreak halafu unakuja kunikubalia ilhali nimeshakata tamaa na wewe kwa kweli naweza kukacha the first day tukiduu tuu
 
wanawake wote ni sawa ila kimwonekata i mean morphology na mmetofautiana. Yupo anaejua kucheka vizuri na kushawishi,mwenye lips za kuvutia yani kwa kifupi kila mmoja ana kitu tofauti na mwenzake. Ila kwa kiungo (uke)ni ulele bt nao unatofautiana test.
Hivyo mwanaume anapkuona hukujengea picha tofautitofauti, labda utakuwa ivi,then akikuta tofauti na ushamzungusha lazima akubwage. Kikubwa ni kwamba ukibwaga tafuta mwingine yupo atakae rithika na ulivyo kwani nae hajarithika na aliokwisha wagusa. so mwisho wasiku kila mwenye mke kagusiwa na kilamwenye mume kagusiwa no wivu any more
 
Hujatulia,nimesema wengi wao Aspirin,ntakugeuza panado,we endelea na kutokujibu hoja kutafuta uchokozi.............lol

Orait: Ni hivi...mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. (Chukulia mifano rahisi ya wanyama na majogoo mitaani). Kwa minajili hiyo, tunapenda kupata test tofauti tofauti. Hili wanawake mnalijua. Ndio maana unajua nna mtu wangu, nakutokea na unanikubalia. Ndio maana wanawake wako tayari kuolewa mitala. Ndio maana mkitufumania mnatusamehe....
 
Napenda demu anizungushe kiaina. Nihangaike kidogo kumpata. Akinipa mambo fasta sana namimi namuacha fasta vilevile.
 
Tunapenda kujua kwanini unaringa.,

avatar13169_5.gif

hii coment, na hii avatar , vinashabihiana
daaaaaaaaaa
 
Michelle.......haya maswali uliyowauliza kina kaka ni magumu na kwa kweli kupata jibu straight huwa ni ngumu na mwisho some of the majibu yao au reactions zao tunazichangia sisi wenyewe.............
1. Why wanabadilika after ku-do: Inategemea na jinsi Do yenyewe ilivyokuwa (Utashangaa nikikwambia hii haihusiani na kuwa mrahisi wa kumchojolewa wala nini). Unaweza ukakutana naye leo na kesho ukajikuta umechojoa!! Kama game ilikuwa exciting na mdada umejua namna ya kuifanyia haki ule usemi wa 'First impression is the one which lasts' basi atarudi tena na tena na tena. But unaweza ukamzungusha mwaka na siku unachojoa ukayavurunda ..hutomsikia tena. Si it depends na mdada mwenyewe how you handle the situation- che muhimu jua basics za kumfanya astick ambazo zinaapply kwa wanaume wote na zile specifics za yeye anataka/pendelea nini.

2. Hakikisha unatoa full package.........some challenging ideas (asikuone we mwanamke sura tu) Cheza kwenye anga zake show your brain (If you dont have one, buy time to borrow). HAve that sense of humour, be cheerful and an entertainer (Do not overdo though).

3. Mnapokuwa hamko pamoja dont overshadow him with mijimessages, simu kila saa as if he is already committed to you ........na hapo atakapoamua kuuchuna (sometimes huwa wanatutega by just creating the gap) nawe kaa kimya........usinchoke na cm au sms za mbona hupokei simu zangu mbona vje.....mpe space.

But sikatai, some are just jerks

Thank you kindly,umenijibu kwa kiasi kikubwa.
 
Ahaaaaa!

Ngoja niwahi baa.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom