Wanaume wote pitieni hapa kujifunza kitu

Apr 14, 2016
6
18
Kama wewe ni mwanaume na unaamini sifa inayokutambulisha ni ndevu au uzito wa sauti ama kuwa tu na viungo vya kiume,kuna kitu kikubwa umepungukiwa.

Labda nikwambie jambo jamaa yangu , umezaliwa kwa sababu na usijisahau kabisa kwenye hii dunia. Unajisahau kwa kuwa unapuuzia vitu vya msingi ambavyo ndiyo huimarisha uuanaume wako.
:confused:

Juzi nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu akiniomba tuonane pahala flani ,tuzungumze jambo.Basi nikakutana naye.

baada ya kufika na kubadilishana maneno ya salamu akanieleza yanayomsibu. Alianza kwa kuyalaumu mapenzi, Akawalaani wanawake wote ulimwenguni akisema ni wazinguaji, hawana akili, walaghai, wanapoteza muda yaani kiujumla aliwabebesha haswa mizigo ya dhambi zote unazozijua wewe jamaa yangu.
:(

MIMI:"kulikoni mzee mbona jazba na huzuni vimekuchachafya hueleweki kabisa hebu nenda moja kwa moja kwenye shabaha nini hasa kinakusibu?"

Niliona nimkatishe maana maneno yalikuwa mengi nusu atoe chozi jamaa yangu!. Eti! ooh ,kuna msichana alikuwa anamfuatilia kitambo, oooh alimpenda kweli kweli, akaanzisha urafiki naye wakawa wanaongea sana kwenye simu, wakazoeana, wakawa wanataniana, wanaona mara kwa mara wanatoka kujirusha na katika siku zote hizo kama mwezi hivi hakumtongoza wala nini.

Na siku aliyojaribu kumweleza hisia zake huyo binti akamchomolea akisema angependa wawe marafiki tu kwani anaona huko ndo wanafaa sana,kuliko kuwa wapenzi.

Jamaa ilimuuma na anadai huyo ni kama msichana watatu kwenye maisha yake anamwambia hivyo hivyo, anahisi kama mkosi hivi yaani anajaribu sana kuwa mkweli kwao kwa kila hali na mali lakini mwisho wa siku wanamwekea wigo wa kirafiki.(FRIENDZONED) whhhhhhy? (anauliza)
:rolleyes:

Kwa haraka haraka na kiufupi inawezekana hao wasichana pamoja na hatua nzuri jamaa alizokuwa anachokua kuna mahala waliona jamaa hayuko sawa.

wanawake wote wanapenda ukweli, wanapenda kufurahi ,wanapenda kupata muda na kuwajua wanaume wanaoambatana nao kwenye mzunguko wao na wanapenda urafiki. Lakini wanapenda kuona pia mtu waliyenaye ni mwanaume haswa.

Binafsi Ninachoona ni kuwa ndugu yangu huyu alizidi mipaka , yani kama ukweli basi alikuwa mkweli sana, kama kucheka basi walikuwa wanacheka sana,kama kutaniana ndo usiseme!! yaani yote haya ni miongoni mwa sabababu jamaa alijikwaa.

udhaifu mkubwa umeibuka kwake kwani Mwanaume asiye na kiasi hatoweza kumkontroo mwanamke kiakili
Chukua hii...
:cool:
SIFA 3 KUU ZA MWANAUME ni mwenye kujiamini (STRONG), Anayejitegemea (INDEPENDENT), na mwenye nguvu(STRONG).

pengine hapa napo alijikwaa wakati akiyafanya yote aliyoyafanya kwao. pengine alishawahi kuogea au kufanya mambo yakamtoa kwenye hiyo misingi ambayo ndio sababu wanawake hao wakakosa kuziona sifa za kiume na kumchukulia kama mtu mwenye kufanana nao kimtazamo.
:)

Kuwa na kiasi jamaa yangu, kuwa na kiasi. Haya endelea na SAFARI.
au sio.jpg
 
Kilichomponza jamaa yako no udomo zege.

Kama kweli alikuwa na hisia za dhati kwa yule binti Basi alitakiwa kumweleza Ukweli Kwenye siku ya kwanza ili binti ampe mrejesho Mara hiyo hiyo.

Sasa jamaa yako alianza kujenga mazoea ya kijinga Hadi demu akamchukulia poa na kumuweka Kwenye friend zone.
 
Kama wewe ni mwanaume na unaamini sifa inayokutambulisha ni ndevu au uzito wa sauti ama kuwa tu na viungo vya kiume,kuna kitu kikubwa umepungukiwa.

Labda nikwambie jambo jamaa yangu , umezaliwa kwa sababu na usijisahau kabisa kwenye hii dunia. Unajisahau kwa kuwa unapuuzia vitu vya msingi ambavyo ndiyo huimarisha uuanaume wako.
:confused:

Juzi nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu akiniomba tuonane pahala flani ,tuzungumze jambo.Basi nikakutana naye.

baada ya kufika na kubadilishana maneno ya salamu akanieleza yanayomsibu. Alianza kwa kuyalaumu mapenzi, Akawalaani wanawake wote ulimwenguni akisema ni wazinguaji, hawana akili, walaghai, wanapoteza muda yaani kiujumla aliwabebesha haswa mizigo ya dhambi zote unazozijua wewe jamaa yangu.
:(

MIMI:"kulikoni mzee mbona jazba na huzuni vimekuchachafya hueleweki kabisa hebu nenda moja kwa moja kwenye shabaha nini hasa kinakusibu?"

Niliona nimkatishe maana maneno yalikuwa mengi nusu atoe chozi jamaa yangu!. Eti! ooh ,kuna msichana alikuwa anamfuatilia kitambo, oooh alimpenda kweli kweli, akaanzisha urafiki naye wakawa wanaongea sana kwenye simu, wakazoeana, wakawa wanataniana, wanaona mara kwa mara wanatoka kujirusha na katika siku zote hizo kama mwezi hivi hakumtongoza wala nini.

Na siku aliyojaribu kumweleza hisia zake huyo binti akamchomolea akisema angependa wawe marafiki tu kwani anaona huko ndo wanafaa sana,kuliko kuwa wapenzi.

Jamaa ilimuuma na anadai huyo ni kama msichana watatu kwenye maisha yake anamwambia hivyo hivyo, anahisi kama mkosi hivi yaani anajaribu sana kuwa mkweli kwao kwa kila hali na mali lakini mwisho wa siku wanamwekea wigo wa kirafiki.(FRIENDZONED) whhhhhhy? (anauliza)
:rolleyes:

Kwa haraka haraka na kiufupi inawezekana hao wasichana pamoja na hatua nzuri jamaa alizokuwa anachokua kuna mahala waliona jamaa hayuko sawa.

wanawake wote wanapenda ukweli, wanapenda kufurahi ,wanapenda kupata muda na kuwajua wanaume wanaoambatana nao kwenye mzunguko wao na wanapenda urafiki. Lakini wanapenda kuona pia mtu waliyenaye ni mwanaume haswa.

Binafsi Ninachoona ni kuwa ndugu yangu huyu alizidi mipaka , yani kama ukweli basi alikuwa mkweli sana, kama kucheka basi walikuwa wanacheka sana,kama kutaniana ndo usiseme!! yaani yote haya ni miongoni mwa sabababu jamaa alijikwaa.

udhaifu mkubwa umeibuka kwake kwani Mwanaume asiye na kiasi hatoweza kumkontroo mwanamke kiakili
Chukua hii...
:cool:
SIFA 3 KUU ZA MWANAUME ni mwenye kujiamini (STRONG), Anayejitegemea (INDEPENDENT), na mwenye nguvu(STRONG).

pengine hapa napo alijikwaa wakati akiyafanya yote aliyoyafanya kwao. pengine alishawahi kuogea au kufanya mambo yakamtoa kwenye hiyo misingi ambayo ndio sababu wanawake hao wakakosa kuziona sifa za kiume na kumchukulia kama mtu mwenye kufanana nao kimtazamo.
:)

Kuwa na kiasi jamaa yangu, kuwa na kiasi. Haya endelea na SAFARI.
View attachment 2469352
Mshauri atafute Pesa. Akishakuwa na Pesa za Kutosha atakuwa na NGUVU na Thamani katika Jamii inayomzunguka. Akishakuwa na Nguvu na Thamani atapata Mwanamke anemtaka. Tatizo la Vijana wengi akishapanga chumba na kununua subwofer na TV nchi 32 na Simu Janja Tayari anajiona Amemaliza na ataanza tafuta Mwenza wa Maisha. Maisha yetu kwa sasa sio yale ya Babu na Bibi au Wazazi wetu! Kwa sasa Pesa ndo kila Kitu. Vijana wengi wanapata matatizo ya afya ya akili kutokana na haya maswala ya Mapenzi. Mshauri jamaa ako aachane na mapenzi apambane kutafuta Mahela!. Kwenda na Msichana Bar na kujaza meza bia na pia kula nyama choma sio kigezo cha kupendwa na Msichana. Na pia uhenda hawo wote watatu aliokutana nao ni Professional Wadangaji (wao wanataka hit and run) jamaa ako anaona ni wife materials . Mshauri vizuri kabla network yake ya Medula Oblingata aijakata moto
 
Back
Top Bottom