Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
kwahio wewe baba zima huwa unaenda jolly club usiku mzima?? kuna sehemu nyingi za kwenda na mkeo sio huko tu
taja tatu tu basi. na watoto mnaenda nao au wanabaki nyumbani?
kwahio wewe baba zima huwa unaenda jolly club usiku mzima?? kuna sehemu nyingi za kwenda na mkeo sio huko tu
taja tatu tu basi. na watoto mnaenda nao au wanabaki nyumbani?
Wanume wengine hufanya hivi kutokana na kutotaka kuwakera wake zao ambao wengi ni anti-social.Wengi wa wanawake tunaongea sana bila kufikiria yaani unakuta mwanamke ametoka out na mumewe anaongea mpaka anamuaibisha mume bila kujijua.Out nyingi ni za usiku na mishe za mjini nani atahudumia watoto.Wanawake wengi wabishi mume anaogopa kubishiwa hata kitu kidogo mbele za watu.Hatujui nguo gani ya kutokea tunavaa vituko akiambiwa na mume ananuna,hatujui kutenga mda wa furaha na huzuni.Kero hizo ndo zinasababisha waume watoke kivyao vyao.Kama unataka kutoka na mumeo oga vaa vizuri ukifika mlikofika usiongee sana,sikiliza wakichekesha cheka kwa staha usinywe pombe hata kama unakunywa kunywa kidogo na maji mengi.Mheshimu mumeo mbele za watu hata kama amekukwaza home.Sura haihusiki hapa ukiwa mzuri wa moyo na heshima kila mtu atatamani kufuatana na wewe coz anafeel proud kuwa na wewe.
Binafsi napenda kutoka na out na mke wangu kwa sababu yeye ndio maisha yangu. Tatizo linaanzia mkiwa kwenye gari, mwanamke yoyote aliependeza akikatiza ananuna sana, matokeo yake huko mnapo kwenda anakuwa na fukuto la chini na kisilani bila kusahau majibu ya shotcut.. sasa hapo kweli utarudia kwenda nae out? Simi yako ikiita anataka kuwa secretary... Duuh bora awe atulie home.. ila Nina mpango wa kuongea nae nimwambie kwanini huwa simtoi out..
mimi ni miongoni mwa wanaojilaumu kuoa
yote ni sawa ila swala la kuniambia nitoke na wewe nikanywe chupa moja ya bia masaa matatu ni bora nisitoke aiseee...... hapo hapanaWanume wengine hufanya hivi kutokana na kutotaka kuwakera wake zao ambao wengi ni anti-social.Wengi wa wanawake tunaongea sana bila kufikiria yaani unakuta mwanamke ametoka out na mumewe anaongea mpaka anamuaibisha mume bila kujijua.Out nyingi ni za usiku na mishe za mjini nani atahudumia watoto.Wanawake wengi wabishi mume anaogopa kubishiwa hata kitu kidogo mbele za watu.Hatujui nguo gani ya kutokea tunavaa vituko akiambiwa na mume ananuna,hatujui kutenga mda wa furaha na huzuni.Kero hizo ndo zinasababisha waume watoke kivyao vyao.Kama unataka kutoka na mumeo oga vaa vizuri ukifika mlikofika usiongee sana,sikiliza wakichekesha cheka kwa staha usinywe pombe hata kama unakunywa kunywa kidogo na maji mengi.Mheshimu mumeo mbele za watu hata kama amekukwaza home.Sura haihusiki hapa ukiwa mzuri wa moyo na heshima kila mtu atatamani kufuatana na wewe coz anafeel proud kuwa na wewe.
thread kama hizi ndio huwa zinaonyesha 'drama' za kwenye ndoa....hata kutoka out issue!!!
Mwanamke na watoto akitolewa ujue kuna jambo siyo kila siku tufuatane nani ataangalia watoto...! Kidume mishe kibao za kusaka note!
Yani asilimia nyingi ya wanaume hawapendi kutoka out na wake zao.
Sijui kwanini yani utakuta mara nyingi wako wenyewe au na chips funga aka mipango ya kando aka nkurunzinza.
A S angry::A S angry::