THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 1,729
- 3,290
Habar Mwanajukwaa la Mahusiano.
Kuna jambo nimelifatilia sana ila sijapata majibu shida hua ni nini haswa?
Yani Mwanamke A anakua yupo kwa mahusaiano na mwanaume B ikitokea A Na B wakaachana Hua haichukui Round Mwanamke unasikia ana Mtu wake Mwingine tena mbaya zaidi Asilimia kubwa unakuta akiachwa ndani ya Mda mfupi anakua na wanaume zaidi ya mmoja.
Akiulizwa utasikia hapa nipo naangalia nani atanifaa.
Nimeamua niulize hapa Sababu hua ni nini wanawake kuwahi vile na zaidi anakua nao wawili au zaidi at the same time.
In other side washikaji au Mwanaume utakuta anaendelea na Life Lake kama kuna kitu alipoteza kwa ajili ya yule Mwanamke au Demu utakuta anapambana tena kukipata mfano alikua amewekeza sana kwake Fedha hata vitu vya gharama mda huo utasikia anakwambia tulia nipambane kwanza nitafte kingine then nikishapata ndio nitachek Demu Mwingine au utakuta yupo na wanae tu anakula good time.
Eti Wanajukwaa Issue ni nini upande wa wanawake na wanawake wenyewe mpo humu issue hua nini nyie?