Wanaume kwanini hampendi kutoka out na wake zenu?

Shida mkiekwa ndani mnajisahau...
tukija tunakuta mmejiachia tuu ovyoo, akati ukienda mpango wa kando mda wotee yuko kimtokoo
 
Ubinafsi ndo unaoogoza wanaume wengi. Unakuta mwanaume ni mbinafisi mpaka kwenye tendo la ndoa sumbuse kitoka out? Mi nachukia sana sijui mioyo ya baadhi ya wanaume ikoje anaona kuliko amtoe out mke wake amlipie kinywaji au chakula basi bora akahonge wanaojiuza.wanawake tunatakiwa kuwa wavumilivu sana ili tuweze kishinda hizi stress wanazotusababishia wanaume.
 
Wanume wengine hufanya hivi kutokana na kutotaka kuwakera wake zao ambao wengi ni anti-social.Wengi wa wanawake tunaongea sana bila kufikiria yaani unakuta mwanamke ametoka out na mumewe anaongea mpaka anamuaibisha mume bila kujijua.Out nyingi ni za usiku na mishe za mjini nani atahudumia watoto.Wanawake wengi wabishi mume anaogopa kubishiwa hata kitu kidogo mbele za watu.Hatujui nguo gani ya kutokea tunavaa vituko akiambiwa na mume ananuna,hatujui kutenga mda wa furaha na huzuni.Kero hizo ndo zinasababisha waume watoke kivyao vyao.Kama unataka kutoka na mumeo oga vaa vizuri ukifika mlikofika usiongee sana,sikiliza wakichekesha cheka kwa staha usinywe pombe hata kama unakunywa kunywa kidogo na maji mengi.Mheshimu mumeo mbele za watu hata kama amekukwaza home.Sura haihusiki hapa ukiwa mzuri wa moyo na heshima kila mtu atatamani kufuatana na wewe coz anafeel proud kuwa na wewe.

haya maelezo yamejitosheleza..............
 
nothing in common interest na hobby asilimia kubwa zinatofautiana.......... we unataka beach yeye anataka kukaa bar .. hapa haiwezi tokea mkatoka out pamoja
 
huwez kwenda kupiga bwaks na mke!! mke ana out zake cku moja moja sio kila jion ninavyoenda baa niongozane na mke!!! baa unakaa na washkaj mnachek ball mnatukana having fun huwez kua comfortable mke akiwa apo pemben!!

pili atakuboa maana wanawake wengi hawapend kunywa mpaka saa 8 za ucku na pale story zitakua zinamboa tu maana haendan nazo ataanza kukusumbua tuondoke nk ndo mana tunawaacha home sio kwamba hatuwapend la hasha!!!

out za wife harus, sherehe mbalimbali za kifamilia na cku moja moja unampeleka band basi!!!!
 
Binafsi napenda kutoka na out na mke wangu kwa sababu yeye ndio maisha yangu. Tatizo linaanzia mkiwa kwenye gari, mwanamke yoyote aliependeza akikatiza ananuna sana, matokeo yake huko mnapo kwenda anakuwa na fukuto la chini na kisilani bila kusahau majibu ya shotcut.. sasa hapo kweli utarudia kwenda nae out? Simi yako ikiita anataka kuwa secretary... Duuh bora awe atulie home.. ila Nina mpango wa kuongea nae nimwambie kwanini huwa simtoi out..

Utakuwa umefanya jambo la msingi ujiongea nae
 
Wanume wengine hufanya hivi kutokana na kutotaka kuwakera wake zao ambao wengi ni anti-social.Wengi wa wanawake tunaongea sana bila kufikiria yaani unakuta mwanamke ametoka out na mumewe anaongea mpaka anamuaibisha mume bila kujijua.Out nyingi ni za usiku na mishe za mjini nani atahudumia watoto.Wanawake wengi wabishi mume anaogopa kubishiwa hata kitu kidogo mbele za watu.Hatujui nguo gani ya kutokea tunavaa vituko akiambiwa na mume ananuna,hatujui kutenga mda wa furaha na huzuni.Kero hizo ndo zinasababisha waume watoke kivyao vyao.Kama unataka kutoka na mumeo oga vaa vizuri ukifika mlikofika usiongee sana,sikiliza wakichekesha cheka kwa staha usinywe pombe hata kama unakunywa kunywa kidogo na maji mengi.Mheshimu mumeo mbele za watu hata kama amekukwaza home.Sura haihusiki hapa ukiwa mzuri wa moyo na heshima kila mtu atatamani kufuatana na wewe coz anafeel proud kuwa na wewe.
yote ni sawa ila swala la kuniambia nitoke na wewe nikanywe chupa moja ya bia masaa matatu ni bora nisitoke aiseee...... hapo hapana
 
Kutoka nakwenyewe hobi ukiendekeza ck mambo yakienda kombo yaani no dora utatombewa buda r emember charity begins at home
 
Yani asilimia nyingi ya wanaume hawapendi kutoka out na wake zao.

Sijui kwanini yani utakuta mara nyingi wako wenyewe au na chips funga aka mipango ya kando aka nkurunzinza.

A S angry::A S angry::

Mnachukua muda mwingi kujiandaaa!
Halafu Mwanaume akitazama kipitacho mbele tu ugomvi.
 
mi nilijaribu kutoka naye tukala bata kama elfu hamsini tu akawa analaumu bora tungenunua tukapike home kwamba matumizi mabaya.kuanzia hapo anacheza na mwanangu home
 
Pombe ikimkolea dutch courage takes its toll, hapo baadhi mabesti zangu wataanza kumsoma kisha hawatochelewa kujaribu bahati zao nyuma ya mgongo wangu!
Pia akiwepo nitakuwa kama nimefungwa kamba wakati niko na my boys! Kuna men's talk bhana na LAZIMA barmaids wataniwe na ikiwezekana kushikwashikwa, sasa akiwepo ni ugomvi tuu!
 
Back
Top Bottom