Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu?

Wanaume wanatafuta bikra. Wanafikiri hao housegirls waliotoka sitimbi wanazo.
 
daughter tutaweza wapi jamani
Tuna watoto wadogo na kazini tunatakiwa mapema
La sivyo waajiri watupe ruhusa ya kuingia ofisini na watoto
Napata picha muajiri ni St.RR

House girl wako unamlipa kiasi gani kwa mwezi?
 
Ni kweli pamoja na mapungufu haya hicho ndicho chanzo cha wewe kukufanya utembee na H/G?

Sio hivyo, lakini kumbuka mvuto wa mapenzi huchochewa hasa pale mtu anapokufanya ufurahi mda mfano: Uko katika mawazo anakufanya uyasahau, unarudi nyumbani umechoka anakufariji, anakujali na vitu kama hivyo, utakuta unafurahia mda mwingi ukiwa nae.

Mapenzi huanza kwa kufurahia/kufurahiana.
 
House girl wako unamlipa kiasi gani kwa mwezi?

kwa sababu mie ni mzazi najua ugumu wa maisha namlipa vizuri tu na family yake naisaidia ingawa sipendi kuweka wazi hii kitu hapa,Lakini pia hili tatizo halipo kwangu Mwalimu usiwe na hofu ,
 
Sio hivyo, lakini kumbuka mvuto wa mapenzi huchochewa hasa pale mtu anapokufanya ufurahi mda mfano: Uko katika mawazo anakufanya uyasahau, unarudi nyumbani umechoka anakufariji, anakujali na vitu kama hivyo, utakuta unafurahia mda mwingi ukiwa nae.

Mapenzi huanza kwa kufurahia/kufurahiana.

Wanaume hawakosi visingizio, mtaongea sana, lakini mwisho wa siku ni tamaa tu na akili mbovumbovu. Hakuna connection ya kufuliwa nguo au kupikiwa na kulala na housegirl. Kama ni kuonyesha appreciation mtu anaweza kuongea na mkewe namna ya kum reward na si kulala nae.
 
Ni ukosefu wa adabu tu on their side, period!

Tusikimbie jukumu. Wapo waso adabu na wapo ambao matendo yao yamechangiwa na mwanamke mwenyewe

Kwa nini uweke maid wakati mazingira hayaruhusu ufanisi Wa kazi yake?

Mama Wa nyumbani siku hizi anataka maid
 
Wanawake timizeni wajibu wenu
Tatizo siku hizi mnanjua mke wajibu wake (wa kindoa) ni kulala na mume wake kitanda kimoja tu, mengine hamyajali.
Kitandani hicho ni kimalizio tu, na HG wakishaharibika wanajua udhaifu wenu.
 
labda mie ndo namba tatu ee?
Asprin kwani ww hujawahi kuingia katika hii dhahama ?
Unaweza kuninong'oneza kama kusema hapa ni ngumu :A S 27:

By the time najiandaa kummega hausigelo, mara akatokea bibi.

Tangu siku hiyo, nyumbani kwa bibi yenu ni kituo cha polisi cha mahausigelo.
 
Back
Top Bottom