The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
wakati mwingine sisi wenyewe kina mama tunachangia sana,mama anashindwa kumwandalia mumewe chakula,kufua na kupiga basi,kusafisha viatu ,kukata kucha,kumuandalia matunda,maji ya kuoga yooooote hayo yanafanywa na msichana sasa hapo kaolewa nani/msichana au huyo mama feki?mwanaume ni kama mtoto utakavyompeti peti pamoja na udhaifu wake lkn bado atakuheshim tu maana ww ni mama yake wapili katika malezi,mwanammke kuanzia j3 mpaka j2 uko busy tu hujui hata mumeo kala nn kashindaje utasema umekuwa dei worker wa daladala?tunajua majukum tuliyonayo ni mengi lkn tunapaswa kuwa na mda na familia zetu jamani tuachane na utandawazi na uzungu mwingi tukumbuke mila zetu na kutunza familia zetu,am out!
The Following User Say Thank You to Pearl For This Useful Post:
https://www.jamiiforums.com/member.php?u=17682 The Finest (Today)
YOU DEFINITELY NEED A RETREAT FOR THIS USEFUL POST
YOU DEFINITELY NEED A RETREAT FOR THIS USEFUL POST