nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Naunga mkono hoja. Hata mimi nakumbuka huo uzi. Na wakati mwingine najikuta namshushua mtu BUT the difference kwangu ni kuwa wala simdisqualify na sita carry forward hiyo kitu kwenye future thread zake. Na hata nikimshushua baadae najisuta kwa kuwa nagundua kuwa si kila linalosemwa lazima liwe la kweli. Na si kila mtu ana kumbukumbu na alichoandika nyuma hasa kama si cha ukweli.
Mtu kama huyo ana nia nzuri tu ya kuanzisha topic ambayo yaweza kuwa ni issue inayoweza mkuta mtu yeyote. Tatizo ni kusema kuwa issue ni yake wakati alishasema kitu kingine kinzani huko nyuma. Ni kutokuwa makini tu angeweza kuanzisha mada kutumia nafsi ya mtu mwingine. Ila najitahidi kuelewa watu kama hao kuwa tatizo si nani tatizo ni tatizo.

kuna mtu humu simtaji
aliwahi kuja na mada kuwa mkewe amemkataa baada ya kufilisika
na anamnyanyasa mpaka mtoto wake....nilichangia nikiamini kuwa ni kweli
nilipokuja kugundua ilikuwa hadithi,nashindwa hata kusoma post yake yeyote ile
kama sio kweli ni vizuri mtu akasema,au akatumia kwa mfano ingekuwa hivi au vile...
otherwise mimi sipendi kuaminishwa jambo liko hivi kumbe sio....
all in all mimi nashauri member wapya wajifunze kuzoea kwanza ili kujua hata lugha ipi sahihi ya kutumia
kama kisa sio cha kweli...