WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

Status
Not open for further replies.
Naunga mkono hoja. Hata mimi nakumbuka huo uzi. Na wakati mwingine najikuta namshushua mtu BUT the difference kwangu ni kuwa wala simdisqualify na sita carry forward hiyo kitu kwenye future thread zake. Na hata nikimshushua baadae najisuta kwa kuwa nagundua kuwa si kila linalosemwa lazima liwe la kweli. Na si kila mtu ana kumbukumbu na alichoandika nyuma hasa kama si cha ukweli.

Mtu kama huyo ana nia nzuri tu ya kuanzisha topic ambayo yaweza kuwa ni issue inayoweza mkuta mtu yeyote. Tatizo ni kusema kuwa issue ni yake wakati alishasema kitu kingine kinzani huko nyuma. Ni kutokuwa makini tu angeweza kuanzisha mada kutumia nafsi ya mtu mwingine. Ila najitahidi kuelewa watu kama hao kuwa tatizo si nani tatizo ni tatizo.

kuna mtu humu simtaji
aliwahi kuja na mada kuwa mkewe amemkataa baada ya kufilisika
na anamnyanyasa mpaka mtoto wake....nilichangia nikiamini kuwa ni kweli

nilipokuja kugundua ilikuwa hadithi,nashindwa hata kusoma post yake yeyote ile

kama sio kweli ni vizuri mtu akasema,au akatumia kwa mfano ingekuwa hivi au vile...
otherwise mimi sipendi kuaminishwa jambo liko hivi kumbe sio....

all in all mimi nashauri member wapya wajifunze kuzoea kwanza ili kujua hata lugha ipi sahihi ya kutumia
kama kisa sio cha kweli...
 
Mhh today you aint so kind.... :) ha ha haaa..., good point though..., lets not try fixing something which aint there..., JF should count themselves lucky having people posting nearly every second (some forums people post once every few weeks...) after all this is jamii forum.., na kwenye jamii kuna differents strokes for different wanajamii

I Love the logic in that....
 
Na support Boss alosema....Mtu waweza Changia kwa siku mada hata 10 sometimes hata 15 thou siku hazifanani siku umechoka 2 to 5.... Members wanasahau kua kuna Thread Mwenyewe aki post kamaliza... anasubiri mtoe mawazo yenu na wala hakuna feed back - hapo inakua vigumu saana kuongea nyie members mlobaki out of assumptions... inapokua Member alo post kutoa/kuomba ushauri... inevitably Thread lazima itakua ndefu with many pages...

Pia kuna issue ya Threads ambazo zimerushwa kwa ajili for fun kwamba members wafurahi hapo na relax their minds... Mfano mzuri hapo ya Rev na TF zipo MMU leo... (hapo ndipo itakua kazi, for Mods watatumia vigezo gani ku qualify/disqulify a thread; wao waweza ona haifai but majority kwao ni muhimu) For such a thread hapo hamna ushauri zaidi ya kuchakachua, banting, chatting and enjoying while in the process... Pia kuna issue ya Member mwingine kwa Week anaomba ushauri zaidi ya hata mara kumi... But hata siku moja huwezi mkuta huyo Member katika Thread ya mtu mwingine walau kuungana na member mwenzie ambae pia kwa anamuhitaji.... Such member anatia Uvivu saana....

MFANO kuna member aliwahi rusha Uzi kua binti yake mdogo (under 12 kama sikosei) alikua anachezewa na baba wa jirani mwenye duka... only to find huyo member siku hio hio karusha uzi kulalamika kelele za majirani wakati wanakula raha... Sasa unajiuliza... "Is this member serious" Kwamba ana serious issue ya mtoto mdogo alafua anatuma post nyingine haina msingi.... Hivo vitu vinavochangia ni vingi...

Kwa member ambae ni the so called maarufu kua hata akipost haina uzito wachangiaji ni wengi... i believe pia inachangiwa na the fact huyo member ni mchangiaji mzuri saana wa threads zingine, hivo inevitably nae pia hupata wachangiaji wengi...

Hakuna anaelalamika thread za maalwatan kuchangiwa na watu hata zikafika page 50. Hakuna anaelalama pia kuwa kwa nini huyo alwatan hachangii thread ya mtu fulani. Tunachoomba ni uhuru ule ule anaopewa alwatan apewe na mwengine.

Aruhusiwe ku post atakacho, cha kweli au cha uongo, kama wanavyopewa uhuru wengine, ili tusijikute tunaangukia kwenye 'all members are equal but some are more equal than the others'

Mtu akipenda aangalie jina la mtoa mada, namna anavyochangia mada za wengine na factor zote nyengine zulizopo kabla ya kujibu post ya mtu but ampe uhuru mtu mwengine kufanya hivyo pia. Asimchagulie mwengine kuwa hili lina mantiki hili halina.
 
Naunga mkono hoja. Hata mimi nakumbuka huo uzi. Na wakati mwingine najikuta namshushua mtu BUT the difference kwangu ni kuwa wala simdisqualify na sita carry forward hiyo kitu kwenye future thread zake. Na hata nikimshushua baadae najisuta kwa kuwa nagundua kuwa si kila linalosemwa lazima liwe la kweli. Na si kila mtu ana kumbukumbu na alichoandika nyuma hasa kama si cha ukweli.

Mtu kama huyo ana nia nzuri tu ya kuanzisha topic ambayo yaweza kuwa ni issue inayoweza mkuta mtu yeyote. Tatizo ni kusema kuwa issue ni yake wakati alishasema kitu kingine kinzani huko nyuma. Ni kutokuwa makini tu angeweza kuanzisha mada kutumia nafsi ya mtu mwingine. Ila najitahidi kuelewa watu kama hao kuwa tatizo si nani tatizo ni tatizo.

watu wako tofauti,
mimi kuna watu kama watatu huwa nasikia uvivu
kuchangia kwao,kwa sababu najua ni mzaha mtupu.....
unless na mimi niko kwenye mood ya mzaha...
 
<br />
<br />
halafu kuna mada zingine zinazarauliwa ila ni nzuri, kuna watu wanaomba ushauri wamekwama ila unakuta wamechuniwa, muda huo huo ikianzishwa thread nyingine hata kama ni ya masihara ilimradi imeanzishwa na member anayeaminiwa hatoi pumba (blackberry atasibitisha)itachangiwa hadi na watu waliopotea jf.

Ha haa haa kweli kabisa mtu anaweza akawa analalamika nyumba yake inawaka moto jinsi ya kuuzima by the time anapewa jibu nyumba tayari ni majivu.... (sababu watu wanadhani ni mtu wa kudanganya...), hata kama anadanganya lakini kuambiwa kwake jinsi ya kuuzima moto kunaweza kunisaidia mimi mwenye kibanda cha nyasi na koroboi kama nikipatwa na hilo janga kweli...
 
Hakuna anaelalamika thread za maalwatan kuchangiwa na watu hata zikafika page 50. Hakuna anaelalama pia kuwa kwa nini huyo alwatan hachangii thread ya mtu fulani. Tunachoomba ni uhuru ule ule anaopewa alwatan apewe na mwengine.

Aruhusiwe ku post atakacho, cha kweli au cha uongo, kama wanavyopewa uhuru wengine, ili tusijikute tunaangukia kwenye 'all members are equal but some are more equal than the others'

Mtu akipenda aangalie jina la mtoa mada, namna anavyochangia mada za wengine na factor zote nyengine zulizopo kabla ya kujibu post ya mtu but ampe uhuru mtu mwengine kufanya hivyo pia. Asimchagulie mwengine kuwa hili lina mantiki hili halina.

.........lol...... Gaijin.. you never fail to make me SMILE.... You have read me all Wroooong!!! Maoni yangu yalikua hayajustify kua Threads zifutwe... it was just an addition to what Boss alipost.... Thus i do Second Most ya ulosema in this THREAD.... Thus the reading me wrong part....
 
Mhh today you aint so kind.... :) ha ha haaa..., good point though..., lets not try fixing something which aint there..., JF should count themselves lucky having people posting nearly every second (some forums people post once every few weeks...) after all this is jamii forum.., na kwenye jamii kuna differents strokes for different wanajamii

Trust me kindness isn't my best trait :p

But you are welcome anyway....:]]
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hakuna anaelalamika thread za maalwatan kuchangiwa na watu hata zikafika page 50. Hakuna anaelalama pia kuwa kwa nini huyo alwatan hachangii thread ya mtu fulani. Tunachoomba ni uhuru ule ule anaopewa alwatan apewe na mwengine.

Aruhusiwe ku post atakacho, cha kweli au cha uongo, kama wanavyopewa uhuru wengine, ili tusijikute tunaangukia kwenye 'all members are equal but some are more equal than the others'

Mtu akipenda aangalie jina la mtoa mada, namna anavyochangia mada za wengine na factor zote nyengine zulizopo kabla ya kujibu post ya mtu but ampe uhuru mtu mwengine kufanya hivyo pia. Asimchagulie mwengine kuwa hili lina mantiki hili halina.

GEE
you are missing the point here...

hao ma alwatan wanajulikana tena wanajulikana kwa mizaha zaidi...

kwa hiyo hata wachangiaji tunajua right from the start kuwa sio serious....

but mtu kuja na kitu ambacho ana claim ni serious halafu kumbe ni mzaha
hatusemi wazuiwe,tunasema wanapunguza appetite ya kuchangia...

itawa cost....
 
The long and short of it ni kwa kuwa huna jina. Ungekuwa maarufu ingepelekwa huko chit chat.
Maana kuna thread zinatumwa jukwaa silo kwa kukusudia (mwenye mada husema hasa kuwa jukwaa silo lakini anaomba iachwe ili apate audience kubwa) na huachwa huko!

Maybe like any society it takes time to grow and build your name..., (JF aint different) kwahiyo labda mkuu asife moyo mwisho wa siku na yeye atakuwa kama hao..., kama alivyosema mwenyewe hapo mwanzo...., "all animals are equal, but some are more equal than others..."

Lakini mimi ningeshauri kujenga jamvi letu bora tuache kuangalia ID ya mtu kwahiyo hoja ya mtu ipimwe kulingana na post au comment aliotoa na sio ni nani kaitoa...
 
Mi nashindwa kuelewa kitu humu, haohao wanaosema watu wanadharau thread ya watu
haohao walijikusanya kumshambulia mtu na thread yake , na kuona kwamba haifai
, Mie kila siku huu ndio wimbo wangu nikiona watu wamedharau thread ya mtu, lazima nitase
ma kitu au kumwambia mhusika hapohapo, sio fresh
 
Nimeipenda hii thread.

Kitu ambacho nime note pia hili jukwaa lina watu tofauti hivyo hakuna jinsi ya ku incorporate diverse interests. Lazima kuna mada utaona haikuhusu na nyingine inakuhusu zaidi. Mfano kuna wengine ni wanafunzi bado kwa maana kuwa ni wadogo kwa umri. Ila kuna wa age yao ambao wanaona topic zao ni pouwa. Tuvumiliane.

Kuna wakati unasoma mada na kuona imeenda class kabisa afu anatokea mchangiaji anasema ondoa upuuzi. Lakini wanakuja wachangiaji wengine wanaendelea kuchangia na alosema upuuzi ndio anaonekana mpuuzi. Kwa hiyo kuna mambo mengi yanayofanya tuwe na interest tofauti including age. kwa kuwa tuko mseto tuvumiliane.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom