Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 7,254
- 27,095
Unawaza azam anaweza akawafurahisheni na kuwaridhisha wateja wake wote mamilioni nchini. Lazima mtakuwepo pimbi kama nyinyi msioona jema popote. Hamna shukrani kwa hata hicho anachofanya mtamsaidia nini kumboresha?Akili gani sijui huwa mnazitumia watu kama ninyi.
Hayo malalamiko ndo yanaiboresha hiyo Azam. Na Azam yupo kwa ajili ya wateja ndio maana anawanyenyekea kwa kuwatengenezea bure baadhi ya maeneo.
Mentality kama yako hii ndio huzalisha machawa pro max, wao ni kusifia tu hata kitu kibaya.