NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,206
- 12,746
Hii ni kwa wachambuzi wote na wanaojiita wadau wa mpira na wanaopigania mpira wetu huu/ ligi yetu ipande thamani.
Wachambuzi wa clouds FM, EFM, WASAFI na media zingine mnaotanua midomo na kutoa sauti ya juu na kupiga kelele endapo timu za kariakoo (Simba na Yanga) zinapohujumiwa.
Mbona hamuongei Azam Fc inapohujumiwa? Mpo kimya kwa matukio niliyoyaona katika mchezo wa Azam Fc na Dodoma jiji laiti Kama hayo matukio yangetokea kwa mapacha wa karikoo kuanzia Redio mpaka mitandao ya kijamii ingealipuka kwa kulaumu Refalii pamoja TFF.
Mashabiki/wadau wangesema kuwa timu hiyo imetumwa na timu nyingine ili kuja kuwaumiza wenzao Tena wangesema wachezaji wamepewa pesa ili watuvunjie wachezaji wetu.
Hivi ni Nan atakae isemea Azam Fc na timu zingine kwa hujuma zinaoendelea viwanjani??
Hii ligi haiwezi kuwa Bora Kama timu nyingine zinahujumiwa na wadau wapo kimya tu wamejikita/wamepotezwa na siasa za Mapacha wa kariakoo.
Azam Fc wamehujumiwa/wamenyimwa goli wazi wazi katika mchezo wao dhidi ya Dodoma jiji.
Msisubiri Azam Fc wapoteze mechi muanze kuwakejeli Bali hata wanapohujumiwa mnapaswa kuwapigania pia wanapohujumiwa.
WADAU ACHENI KUANGALIA SIMBA NA YANGA TU BALI TAZAMENI NA TIMU NYINGINE KATIKA LIGI HII.